PAPA FRANCIS ATOA SALAMUZA EID KWA WAISLAMU WOTE DUNIANI

Papa Francis
apa Francis, amewatakia Waislamu wote duniani,
sikukuu njema ya Eid el- Fitr huku akiwahimiza kuheshimiana zaidi
kupitia elimu.
“Mwaka huu wa kwanza kama kiongozi wa Kanisa
Katoliki, nimeamua kutuma ujumbe huu kwenu marafiki zangu Waislamu
nikiwa na heshima kubwa. Ninatambua uhusiano, udugu na urafiki baina
yetu sisi,” alisema Papa Francis katika salamu zake.
Makao ya kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki duniani,
yameulezea waraka huo kuwa ni wa salamu maalumu za Sikukuu ya Eid
al-Fitr inayofanyika duniani leo, baada ya kumalizika kwa Mfungo wa
Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
LADY JAYDEE ARUSHA TOUR: PICHA ZAKE ZA KWANZA AKIWA HUKO A.TOWN HIZI HAPA...
Siku ya leo mkoani Arusha kutakua na bonge la show litakalo dondoshwa na msanii Lady jdee (Anaconda) ndani ya ukumbi wa triple Akingilio kikiwa n sh.10,000 tu.Kwa wale wa karibu na hata mbali itawahusu na ina wahusu kwa saa..na.Hizi ndizo picha baadhi alizo photoa akiwa maeeno hayo na wadau kadhaa hivi cheki mwenyewe.
MMILIKI WA LIVERPOOL ASEMA "KUWAUZIA SUAREZ ARSENAL UTAKUWA NI UPUMBAVU - HAENDI POPOTE DIRISHA HILI LA USAJILI."
Luis
Suarez amezidi kupata vizingiti vikubwa katika harakati zake za kutaka
kuhama Liverpool, baada ya kuambiwa na mmiliki wa Liverpool John Henry
warning: “Huendi popote”.
VIGOGO WAWILI WA BANWA KU KAMATWA KWA AGNES MASOGANGE NA MADAWA...
HABARI zilizochimbuliwa kwa undani zinadai kuwa tayari vigogo wawili
waishio nchini wamebanwa na Jeshi la Polisi Tanzania wakituhumiwa
kumtuma Masogange kupeleka madawa ya kulevya nchini Afrika Kusini.
DIVA WA CLOUDS FM AFUNGUKA TENA ASEMA HAJAWAHI ONA MWANAUME KAMA PREZOO
Kwa mara nyingine tena, mtangazaji wa Clouds fm maarufu wa jina la DIVA amejitosa Istagram na kuanza kuisifia suruali yake ( Prezzo) huku akiwaponda wanaume wa kibongo na wale wote wanaomchukia Prezzo....
Huu ni ujumbe wake.
RAY C ASIMULIA KILICHOMFANYA AANZE KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA........LAWAMA ZOTE AMEZIELEKEZA KWA MPENZI WAKE

Muimbaji wa ‘Niwe Nawe Milele’ Rehema Chalamila aka Ray C jana alifanya interview ya kwanza ya TV tangu takriban miezi 10 iliyopita baada ya kujichimbia kupata matibabu ya madhara aliyokuwa amepata kutokana na matumizi ya madawa ya kulevya.
IRENE PAUL ADAIWA KUWA MJAMZITO...
Staa wa filamu za Kibongo,Irene Paul amedaiwa kuwa mjamzito ambapo
inasemekana amekuwa akiuficha ujauzito huo ili asipigwe picha na
mapaparazi.
Zivunje laana za kurithi ktk ngono na mapenzi
Leo nataka tuongelee laana za kurithi..wengi tukifikia hapa
tunajisahau kabisa haswa kwenye mambo ya ndoa na uzazi, wakati unataka
kuolewa je unakuwa umevunja laana za ulipotoka?? na ulipo je umevunja
laana za wazazi na mababu ambazo zimekuwa kwenye damu yako??? unajikuta
mtu umepata mume unaolewa halafu mama yako hajawahi kuolewa
MUME WA PILI WA WASTARA AIBUKA
MIEZI nane baada ya kufariki dunia mumewe Juma Kilowoko ‘Sajuki’, hatimaye mume wa pili wa staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma aitwaye Ahmed Kushi ameibuka na kudai kwamba anatambua kwamba staa huyo bado ni mkewe na anataka ampatie mwanaye aliyezaa naye.
Kwa muda mrefu kulikuwa na taarifa kuwa Wastara aliachana na mwanaume huyo kwa talaka kabla ya kuolewa na Sajuki lakini kuibuka kwake na madai kuwa bado mwanadada huyo ni mkewe kumezua mshangao mkubwa.
Huyu Ndiye Mwigizaji Wa Kike anae ongoza Kwa Kulipwa Pesa Nyingi, soma kujua ana lipwa shilingi ngapi Katika Filamu Moja
TAZAMA PICHA ZA TUKIO LA KUUNGUA KWA MOTO UWANJA WA NDEGE WA JOMO KENYATA
Moto mkubwa unaripotiwa kuzuka asubuhi hii katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyetta (JKIA) jijini Nairobi.
ALIYE FANYA MAPENZI NA NANDO ( SELY) AMUOMBA MSAMAHA MPENZI WAKE
Hatimaye mshiriki wa Ghana katika reality show ya Big Brother ‘The
Chase’ Selorm Galley maarufu kama Selly aliyetoka wiki moja iliyopita,
amemuomba msamaha boy friend wake (wa Ghana) kwa yale aliyoyafanya
mbele ya Camera za nyumba ya Big Brother.
PICHA: DIAMOND AFANYA SHOOTING YA NYIMBO YAKE MPYA AKIWA NA MIONGONI YA GARI ZENYE GHARAMA KUBWA DUNIANI HUKO AFRIKA KUSINI
Bongo Flava Prince, Diamond Platnumz yupo nchini Afrika Kusini kishule na kikazi pia. Staa huyo wa Kesho ameshoot video ya wimbo wake mpya ambao bado haujulikani ni upi mpaka sasa.
PICHA: TAZAMA RIHANNA ALIVYOVAA MAVAZI YA AJABU AJABU KATIKA SHEREHE ZA CROP OVER CARNIVAL
Rihanna ameuangana na wananchi wengine wa nchi mwake Barbados
kufurahia tamasha la kila mwaka la Crop Over Carnival. Akiwa amevalia
mavazi kama wanawake wa Kizulu wa nchini Afrika Kusini, Riri alionekana
mwenye furaha na kwenye picha moja wapo aliyopost kwenye Instagram,
aliandika kuwa anaipenda nchi yake.
HEALTY& BEAUTY:HOW GET CLEAR SKIN BY USING THESE 5 NATURAL REMEDIES
![]() | ||
NATURALGLOW FOR YOUR SKIN |
Natural Glow for your skin
MSIMAMO WA RAIS KIKWETE KWA RAIS KAGAME WA RWANDA WAUNGWA MKONO KWA ASILIMIA 100 NA WASOMI HAPA NCHINI
WASOMI
na baadhi ya wanasiasa wazalendo nchini wameunga mkono msimamo wa
Tanzania uliotolewa na Rais Jakaya Kikwete kuhusiana na chokochoko
zinazoanzishwa na Rwanda na wamemtaka Rais wa nchi hiyo, Paul Kagame, kukaa
meza ya mazungumzo na waasi wa nchi hiyo walioko Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kwani amani haiwezi kutafutwa kwa njia ya
mtutu wa bunduki.
CHADEMA kidedea:Makada wake wafutiwa shtaka la ugaidi.
KWA mara nyingine Mahakama Kuu, imetupilia mbali mashtaka ya ugaidi yaliyofunguliwa dhidi ya viongozi na wananchama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Jana, Mahakama Kuu Kanda ya Tabora iliwafutia shtaka la ugaidi
wanachama watano wa CHADEMA ikisema kosa lao ni la jinai na halipaswi
kuitwa la ugaidi.
EAST AFRICAN COMMUNITY INAKUFA

Mimi siku zote husema si nabii wala mbashiri, sina ujuzi wa
kutembelea nyota, lakini kwa mambo yote ambayo ninayaona kwa sasa,
hakika ni alama mbaya , hatari kwa nchi yangu, Tanzania.
Hakuna shaka, pia ni hakika kwamba ni hatari pia hata kwa uhai na ustawi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa jumla wake.
MAMA WA KANUMBA ADAIWA KUUZA MAGARI YOTE YA MAREHEMU STEVEN KANUMBA NA PESA KUNYWEA POMBE
Inavyosemekana imebaki Hice tu ambayo nayo kesha pewa dalali atafute Mnunuzi. Ofisi nayo inapumulia mashine. kuna mazito ndani ya familia hiyo.
" NILIKURUPUKA KUOLEWA NA ABDULATIF FUNDIKIRA (TIFF) JACK PATRICK..
MWANAMITINDO marufu Bongo, Jacqueline Patrick ‘Jack’ amesema alikurupuka kuolewa na aliyekuwa mume wake, Abdulatif Fundikira ‘Tiff’ kwa kuwa hakufanya tathmini ya kina kabla ya kufanya maamuzi.
Forbes Africa imetoa Forbes Africa magazine model list Flaviana Matata ndani: Noma Sanaaa
Ikiwa imetangazwa siku chache zilizopita, Forbes Africa imetoa list ya
ma-model wakali na wanaofanya vizuri, na model matata kutoka Tanzania
"Flaviana Matata" ndani.
Ripoti ya mauji Arusha yavuja •IGP Mwema, RPC Andengenye watiwa hatiani.
HATIMAYE ripoti ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora,
kuhusu vitendo vya uvunjaji wa haki za binadamu na mauaji yaliyotokea
Arusha Januari 5, 2011 kwenye maandamano ya CHADEMA imevuja.
Licha ya ripoti hiyo kufichwa kwa kutosomwa hadharani kwenye vyombo
vya habari kutokana na kulishutumu moja kwa moja Jeshi la Polisi,
Tanzania Daima imefanikiwa kuinasa.
SIKU YA JANA, ILIKUA MBAYA KWA ARSENAL WENGER BAADA YAKUFUNGWA
Amefunga: Drogba amefunga mabao dakika za lala salama Kombe la Emirates
MSHAMBULIAJI Didier Drogba ameendelea
kuwa mwiba kwa Arsenal akikumbushia enzi zake alipokuwa na jezi ya
Chelsea, baada ya mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 35 siku ya jana kufunga
mabao mawili na kuiwezesha klabu yake, Galatasaray kutwaa Kombe la
Emirates.
FEZA APONA BIG BROTHER THE CHASE, ONEL OUT
Homa
iliyokuwa ikiwakabili watanzania kwamba huenda muwakilishi pekee kutoka
Tanzania, Feza Kessy siku zake zimeisha kutoka kwenye jumba la Big
Brother imepata tiba usiku huu ambapo muwakilishi huyo, amebaki bali
mpenzi wake Oneal kutoka Botswana, ndio ametoka.
HUJUI KUTONGOZA???...... SOMA HAPA NAMNA YA KUTONGOZA MSICHANA YOYOTE

Muda au Pesa Nyingi!"
Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake
ni kuanzisha mahusiano ya karibu. Kuna sanaa zingine za ushawishi kama vile ushawishi wa
kibiashara ambapo lengo ni kuuza bidhaa. Na kuna ushawishi wa kisiasa
ambapo lengo ni kupata kura.
Wakati sanaa karibia zingine zote za ushawishi ni
rahisi kujifunza, sanaa ya kutongoza watu wengi wanasema eti
haifundishwi ... eti kila mwanaume anajua kutongoza.
USAJILI WA WACHEZAJI WA LIGI KUU MWISHO AGOSTI 5
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza
msimu huu (2013/2014) sasa utafungwa Jumatatu (Agosti 5 mwaka huu)
badala ya Agosti 3 mwaka huu kama ilivyokuwa imepangwa awali.
WABUNGE WACHAPANA NGUMI ZA KAVU KAVU BUNGENI

RAIS KIKWETE AWAPA WANYARWANDA SIKU 14 ZA KUONDOKA TANZANIA. ***MAMIA WAANZA KUREJEA RWANDA
Mamia ya wahamiaji haramu kutoka nchini Rwanda wakiwa na ng’ombe
zaidi 900 wameanza kuondoka nchini kurejea kwao kutokana na agizo la
Rais Jakaya Kikwete kuwataka waondoke Tanzania kabla ya siku 14.
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)
Total Pageviews
328447
About Us
Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.
Recent Posts
Ads 468x60px
Blog Archive
Followers
IN ENTERTAINMENT
SERENGETI FIESTA 2013 MKOANI MTWARA NOOOOOMAAAA SAAAANAAAAA
Wakazi wa Mtwara wajitokeza kwa wingi katika Tamasha la Burudani la...SAKATA LA MADAWA YA KULEVYA, DIAMOND APOKONYWA PASSPORT.., MASANJA MKANDAMIZAJI NAYE YUPO
Ni mwendelezo wa Sakata la unga ambalo sasa ni janga kwa taifa letu. Orodha...VIDEO YA YALIO JIRI UZINDUZI WA VIDEO MPYA YA DIAMOND "NUMBER ONE"
DIAMOND AKI ONGEA NA WAANDISHI WA HABARI Penny Mungilwa - Number 1...
ADVERTISE MENT
**ADVERTISE MENT**

Pages
VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )
STAR VOTE
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
MUZIKI ni kazi, mataifa mengi, hususan katika mabara ya Ulaya na Amerika Kaskazini, ume...
-
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako hur...
-
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2013/2014) sasa utafungwa Jumatatu (Agosti 5 mwaka huu) badala ya Agosti 3 mwa...
No comments :
Post a Comment