BUSINESS PARK (GREEN ACRES) YA MWAGWA USO WOTE CHINI.
Business ama green acress hiyo jana ime mwagwa chini eneo lote la mbele.
Hoteli hiyo iliyo kua ngome ya mashujaa jana ime kutana na dhahama hiyo kutokana na amri iliyo tolewa na wizara ya ujenzi chini ya usi ma mizi mkali,baada yaku sua sua kwa kuvunja nyumba zilizo kua kando kando mwa barabara ya AlHassan Mwainyi kama ilivyo agizwa na waziri magufuli,Serikali ime amua kufanya kazi hiyo kwakutumia tinga tinga (greda).
Katika operesheni hiyo Business park ndio ilikua ya kwanza kuku mbana na dhahama hiyo kabla ya majengo mengine ku fanyiwa kazi hiyo.Wapangaji walio panga katika jengo hilo wali anza ku hamisha mali zao kupisha zoezi hilo.
Kwa muda mrefu Business park ime kua ngome ya mashujaa kwa kila siku za ijumaa na juma mosi, lakini tangu kutolewa kwa amri hiyo yaku bomolewa kwa uso wajengo hilo bendi hiyo ika hamishia makazi yake kwa muda kwenye kumbi za zoughua garden na mzalendo pub.
![]() |
BUSINESS PARK |
Kwa muda mrefu Business park ime kua ngome ya mashujaa kwa kila siku za ijumaa na juma mosi, lakini tangu kutolewa kwa amri hiyo yaku bomolewa kwa uso wajengo hilo bendi hiyo ika hamishia makazi yake kwa muda kwenye kumbi za zoughua garden na mzalendo pub.
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Total Pageviews
328702
About Us
Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.
Recent Posts
Ads 468x60px
Blog Archive
Followers
IN ENTERTAINMENT
SERENGETI FIESTA 2013 MKOANI MTWARA NOOOOOMAAAA SAAAANAAAAA
Wakazi wa Mtwara wajitokeza kwa wingi katika Tamasha la Burudani la...SAKATA LA MADAWA YA KULEVYA, DIAMOND APOKONYWA PASSPORT.., MASANJA MKANDAMIZAJI NAYE YUPO
Ni mwendelezo wa Sakata la unga ambalo sasa ni janga kwa taifa letu. Orodha...VIDEO YA YALIO JIRI UZINDUZI WA VIDEO MPYA YA DIAMOND "NUMBER ONE"
DIAMOND AKI ONGEA NA WAANDISHI WA HABARI Penny Mungilwa - Number 1...
ADVERTISE MENT
**ADVERTISE MENT**

Pages
VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )
STAR VOTE
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
MUZIKI ni kazi, mataifa mengi, hususan katika mabara ya Ulaya na Amerika Kaskazini, ume...
-
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2013/2014) sasa utafungwa Jumatatu (Agosti 5 mwaka huu) badala ya Agosti 3 mwa...
No comments :
Post a Comment