FBI WALIVYO KAGUA OFISI YA KOVA KWA MBWA
Ofisa mmoja wa usalama wa marekani (FBI),akiwa na mbwa ali ingia makao makuu ya polisi kanda maalumu ya Dare es salamnaku fanya ukaguzi.KAMANDA KOVA.. |
Tukio hilo lilitokea muda mfupi kabla ya msafara wa magari ya marekani kupita yaki tokea ikulu kwenda uwanja wa taifa wa mwalimu Julius kumlaki raisi Obama.
Polisi ambae hakutaka kutajwa alisema ofisa huyo ali ingia na mbwa hadi maeneo ya mapokezi,lakini muda mfupi walitoka.
"Walikwenda moja kwa moja mapokezi waka fanya ukaguzi,kisha wakatoka nje ya jengo na kama hiyo haitoshi, ofisa huyo akiwa na mbwa alikwenda sehemu yaku egeshea magari yenye kesi na yale ya kawaida naku anza ku fanya uka guzi,baada ya hapo wali ondoka," alisema polisi huyo naku ongeza:
"Licha ya mimi kutokua na cheo pale,lakini hili lakutukagua na mbwa,ni kama wame tu dhalilisha...sisi ndio tuna aminika kwa usalama,leo hii wana tu kagua na mbwa.Tena kituo ki kuu."
Hata hivyo, usalama kwenye vituo vingi ikiwamo uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere, vilikua chini ya usimamizi na uangalizi wa makachero wa Marekani.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Total Pageviews
About Us
Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.
Recent Posts
Ads 468x60px
Blog Archive
Followers
IN ENTERTAINMENT
ADVERTISE MENT
**ADVERTISE MENT**
Pages
VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )
STAR VOTE
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
BONGO NEWS 4 NEWS#
-
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako hur...
-
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2013/2014) sasa utafungwa Jumatatu (Agosti 5 mwaka huu) badala ya Agosti 3 mwa...
-
A still from the video in which Yemeni girl Nada Al-Ahdal pleaded with parents not to arrange marriages for their young children, b...
-
UMEONA PICHA ZA WASANII WATAOTUMBUIZA KIGOMA KATIKA KILL TOUR WALIPOWASILI KIGOMA? BASI ZICHEKI HAPAKundi la kwanza la wasanii watakaotumbuiza katika tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2013 limewasili mkoani Kigoma kwa ajil...
-
Mafundi wakiendelea na ujenzi wa Makao Makuu ya Kituo kipya cha Televisheni cha Aam TV, eneo la Tazara, Dar es Salaam. Kituo hicho kim...
-
Klabu ya Arsenal io mbioni kukamisha usajili wa kiungo wa Real Madrid Mesut Ozil katika siku ya mwisho ya usajili barani ulaya. ...
No comments :
Post a Comment