Recent Posts

coments

HOT HEAD LINES

NEWS+HABARI-ZAIDI

ALL HERE DONE BY |

ALL HERE DONE BY |

**ADVERTISEMENT**

**ADVERTISE**

**ADVERTISE**

HAPPY BIRTH DAY

HAPPY BIRTH DAY
Powered by Blogger.

TANGAZO KWA ABIRIA WA AZAM MARINE & COASTAL FAST FERRIES.

No comments

Kutokana na Kuanza kwa mwezi mtukufu wa Ramadhan, Azam Marine & Kilimanjaro Fast Ferries Imeamua kuongeza safari kwenye ratiba yake.. Kwa mwezi mzima safari zitakua mida ifuatayo:

DAR kwenda Zanzibar:

0700 HRS (Moja asubuhi)
0930 HRS (Tatu na nusu asubuhi)
1230 HRS (Sita na nusu mchana)
1400 HRS (Nane mchana)
1545 HRS (Tumi kasorobo jioni)

Zanzibar kwenda DAR: 

0700 HRS (Moja asubuhi)
0930 HRS (Tatu na nusu asubuhi)
1100 HRS (Saa tano asubuhi)
1230 HRS (Sita na nusu mchana)
1545 HRS (Kumi kasorobo jioni)

Tunapangilia na Safari za kwenda Pemba na tutatangaza ratiba hivi karibuni.. 

Pamoja na hayo kwa Kuona Umuhimu Wa Mwezi Mtukufu, Azam Marine Imetenga nafasi kwenye eneo la offisi kufanya sehemu ya kusalia abiria.. Hii huduma inapatikana upande wa DAR pamoja na Zanzibar.. 

Ramadhan Kareem!!

Asanteni woote!!
BONGO NEWS 4 NEWS#

No comments :

Post a Comment

Total Pageviews

About Us

Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.

Ads 468x60px

Blog Archive

Followers

IN ENTERTAINMENT

ADVERTISE MENT

**ADVERTISE MENT**

**ADVERTISE MENT**

VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )

TOP HEAD LINES