Recent Posts

coments

HOT HEAD LINES

NEWS+HABARI-ZAIDI

ALL HERE DONE BY |

ALL HERE DONE BY |

**ADVERTISEMENT**

**ADVERTISE**

**ADVERTISE**

HAPPY BIRTH DAY

HAPPY BIRTH DAY
Powered by Blogger.

OZIL MBIONI KUJIUNGA NA ARSENAL KWA ADA YA UHAMISHO WA £42M KUTOKA REAL MADRID

No comments


Klabu ya Arsenal io mbioni kukamisha usajili wa kiungo wa Real Madrid Mesut Ozil katika siku ya mwisho ya usajili barani ulaya.
Kwa mujibu wa ripoti zilizoenea mitandaoni ni kwamba Arsenal wapo katika mazungumzo ya mwisho na Real Madrid juu ya usajili wa Ozil .

Kiungo huyo wa kijerumani mwenye miaka 24 amekuwa Bernabeu tangu mwaka 2010 akitokea Werder Bremen.
Na Ozil anaweza kuelekea Emirates Stadium baada ya Gareth Bale kujiunga rasmi na miamba ya soka la Hispania akitokea Tottenham kwa ada ya uhamisho iliyovunja rekodi ya £85.3m.
Ozil ameshaitumikia Madrid katika michezo zaidi ya 100 huku akiwa na rekodi ya kuongoza kwa assists nyingi zaidi barani ulaya katika misimu mitatu iliyopita.

Gunners wapo karibu kukamilisha usajili wake wenye thamani ya  £42.5m, lakini bado watapambana na upinzani mkali kutoka kwa
Manchester United na Paris Saint Germain ambao pia wamehusishwa na mchezaji huyo.
BONGO NEWS 4 NEWS#

No comments :

Post a Comment

Total Pageviews

About Us

Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.

Ads 468x60px

Blog Archive

Followers

IN ENTERTAINMENT

ADVERTISE MENT

**ADVERTISE MENT**

**ADVERTISE MENT**

VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )

TOP HEAD LINES