Baada ya wanajeshi wa 7 wa Tanzania kuuwawa: Tanzania yapendekeza UN kufanyia marekebisho sheria ya kulinda amani
Baada ya walinda amani saba wa Tanzania kuuawa na watu waliokuwa
wamejihami eneo la Darfur mwishoni wa wiki, na wengine wengi kujeruhiwa
na baadhi wakiwa mahututi, Tanzania imependekeza kufanyiwa marekebisho
sheria ya kulinda amani ya UN, ili kujikinga na mashambulizi.
Mauaji ya walinda amani 7 wa Tanzania nchini
Sudan yamewashangaza wengi sana nchini humo kulingana na naibu waziri
mkuu, kwani nchi hiyo ndio imeanza kushika kasi katika juhudi zake za
amani kimataifa. .
Maafisa hawakuwa na taarifa kamili kuhusu
uvamizi wa Jumamosi ambapo wanajeshiu wengine 17 walijeruhiwa vibaya
katika shambulizi baya zaidi kushuhudiwa dhidi ya vikosi vya kimataifa
nchini Sudan
.
Shambulizi hilo lililofanywa na kikundi kikubwa
cha watu waliokuwa wamejihami, ilihusisha mashambulizi makali ya mizinga
na iliyolenga wanajeshi hao umbali wa kilomita 25 Magharibi mwa mji wa
Khor Abeche.
Tanzania, ambayo pakubwa ni nchi salama na
thabiti katika Kanda ya Afrika Mashariki, imeendelea kujitolea sana
katika juhudi za amani duniani.
Mwaka jana ilikuwa nchi ya kwanza kujitolea
kupeleka vikosi vyake Mashariki mwa Congo, chini ya kile ambacho
kitakuwa kikosi cha walinda amani wa Umoja wa Mataifa wenye jukumu la
kupambana vilivyo na makundi ya waasi huko
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Total Pageviews
About Us
Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.
Recent Posts
Ads 468x60px
Blog Archive
Followers
IN ENTERTAINMENT
ADVERTISE MENT
**ADVERTISE MENT**
Pages
VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )
STAR VOTE
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako hur...
-
A still from the video in which Yemeni girl Nada Al-Ahdal pleaded with parents not to arrange marriages for their young children, b...
-
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2013/2014) sasa utafungwa Jumatatu (Agosti 5 mwaka huu) badala ya Agosti 3 mwa...
-
UMEONA PICHA ZA WASANII WATAOTUMBUIZA KIGOMA KATIKA KILL TOUR WALIPOWASILI KIGOMA? BASI ZICHEKI HAPAKundi la kwanza la wasanii watakaotumbuiza katika tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2013 limewasili mkoani Kigoma kwa ajil...
No comments :
Post a Comment