WAKATI NANDO AKIHANGAIKA NA GONJWA LA ZINAA ALOPEWA, FEZA NAYE AMETANGAZA NIA YAKE YA KUZALISHWA NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER
Huenda Jay (mtoto wa kiume wa Feza Kessy) anaweza kupata wadogo zake
wa kucheza nao soon. Hiyo ni kutokana na mama yake anayeiwakilisha
Tanzania mwaka huu kwenye shindano la Big Brother Africa ‘The Chase’
kumwambia mchumba wake raia wa Botswana, Oneal kuwa angependa azae naye
watoto.
Wapenzi hao waliopo Ruby House walikuwa wakiongea mipango kuhusu uhusiano wao kwenye chumba cha Rendezvous mjengoni humo.
“Please put a little thought into your answers,” anasikika Oneal akimwambia Feza.
“Natamani tungekuwa na mazungumzo haya bila kamera zozote zinazotuzunguka,” Feza alimjibu Oneal.
Lakini baadaye alimjibu, “Nataka furaha na wewe, future, nataka
mahaba, nataka watoto, nataka maisha na wewe.”
Hata hivyo Feza amekisema
kitu kinachomkwaza toka kwa Mbotswana huyo anayefanya kazi ya UDJ
nchini mwao kuwa wanapokorofishana yeye huondoka bila kuyamaliza japo
amesema atajaribu kumwelewa.
“I know I am a complex man, I don’t even understand myself at times,” alikiri Oneal.
BONGO NEWS 4 NEWS#
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako hur...
-
A still from the video in which Yemeni girl Nada Al-Ahdal pleaded with parents not to arrange marriages for their young children, b...
-
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2013/2014) sasa utafungwa Jumatatu (Agosti 5 mwaka huu) badala ya Agosti 3 mwa...
-
-
Kundi la kwanza la wasanii watakaotumbuiza katika tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2013 limewasili mkoani Kigoma kwa ajil...
-
-
Waziri wa uchukuzi Prof. Harrison Mwakyembe amemtaja mshukiwa mmoja wa dawa za kulevya aitaye Nassoro Mangunga, lakini mshuki...
No comments :
Post a Comment