LAANA: WATUMIA VAZI LA MASISTER WA KANISA KUSAFIRISHIA MADAWA YA KULEVYA, HATIMAYE WANASWA AIRPORT
Wanawake
watatu wamekamatwa kwa madai ya kujaribu kusafirisha dawa za kulevya
kupitia uwanja wa ndege wakiwa wamevalia kama masista.
Wasafirishaji
hao walisimamishwa wakati wakiwasili kwenye kituo maarufu cha mapumziko
nchini Colombia, sababu polisi walifikiri kwamba mavazi yao hayakuwa
yakionekana halisia.
Maofisa waligundua kwamba kila mwanamke kati yao alikuwa na zaidi ya kilo 4 za cocaine zikiwa zimefungwa katika miguu yake.
Wakiwaongezea fedheha katika
mashitaka, wasafirishaji hao walipangwa mstari mbele ya waandishi wakiwa
bado wamevalia mavazi yao ya kituko kuficha ukweli.
Wanawake hao watatu, wenye
umri wa miaka 20, 32 na 37, walitua kwa ndege kwenye kisiwa hicho cha
San Andres kutoka Bogota siku ya Jumamosi asubuhi.
Kapteni wa Polisi Oscar Davila
alisema wanawake hao walionekana kama wamechanganyikiwa, na kuongeza
kwamba mfumo wa tabia zao haukuonekana kuwa sahihi.
Pale masista hao bandia
waliposimamishwa na kupekuliwa, walikutwa wakiwa na shehena kubwa ya
cocaine ikiwa imefungwa katika miili yao.
Wote watatu waliangua kilio na
kusisitiza kwamba walitumiwa tu kusafirisha dawa hizo sababu ya
matatizo yao ya kifedha, alisema Davila.
Wanawake hao walikamatwa na kuswekwa rumande kwa mashitaka ya kusafirisha dawa za kulevya.
Dawa hizo zilikadiriwa kuwa na
thamani ya Dola za Marekani 35,000 mtaani, kwa mujibu wa Kamishna wa
Polisi wa mji huo, Jorge Gomez.
"Hawakuwa wafuasi halisi wa
dini, hawakuwa masista," alisema. "Kinyume cha hilo, walikuwa wakitumia
mwanya huo kwa ajili ya kazi hii.
"
San Andres, iliyoko Caribbean
nje ya ufukwe wa Nicaragua, ni moja ya mahali maarufu kabisa nchini
Colombia kwa ajili ya wakazi na watalii.
Hatahivyo, inatumika pia kama
njia kuu ya kupitishia dawa za kulevya kwa ajili ya kusafirisha cocaine
kati ya Colombia bara na Amerika ya Kati.
BONGO NEWS 4 NEWS#
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Total Pageviews
About Us
Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.
Recent Posts
Ads 468x60px
Blog Archive
Followers
IN ENTERTAINMENT
ADVERTISE MENT
**ADVERTISE MENT**
Pages
VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )
STAR VOTE
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako hur...
-
A still from the video in which Yemeni girl Nada Al-Ahdal pleaded with parents not to arrange marriages for their young children, b...
-
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2013/2014) sasa utafungwa Jumatatu (Agosti 5 mwaka huu) badala ya Agosti 3 mwa...
-
UMEONA PICHA ZA WASANII WATAOTUMBUIZA KIGOMA KATIKA KILL TOUR WALIPOWASILI KIGOMA? BASI ZICHEKI HAPAKundi la kwanza la wasanii watakaotumbuiza katika tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2013 limewasili mkoani Kigoma kwa ajil...
-
Waziri wa uchukuzi Prof. Harrison Mwakyembe amemtaja mshukiwa mmoja wa dawa za kulevya aitaye Nassoro Mangunga, lakini mshuki...
No comments :
Post a Comment