Huyu ndiyo mtu tajiri sana kuwahi kutokea duniani.. unajua alikuwa na utajiri kiasi gani?
John Davison Rockefeller ndiyo mtu tajiri
sana katika historia ya dunia hadi leo, unaambiwa utajiri wake
ukifananisha na hawa matajiri wa karne hii amewaacha mbali kupita kiasi,
ukichukua utajiri wa Bill Gates na Carlos Slim ambao wote kwa pamoja
wana utajiri wa billioni 140 bado hawatafikia hata nusu ya utajiri
aliowahi kuwa nao huyu jamaa.
Mwaka 2007 mtandao wa Forbes ulirekebisha
utajiri wa John Rockefeller baada ya inflation (mfumuko wa bei) na
kukadiria kwamba alikuwa na utajiri wa dolla billion 663.4
John Rockefeller alifariki mwaka 1937 May
23 huko Florida akiwa na miaka 97, utajiri wake umetokana sana na
biashara ya mafuta ambayo kwa kipindi hicho ndiyo ilikuwa nishati mpya
na inahitajika sana, alianzisha kampuni inaitwa Standard Oil Company
ambayo iliweza kufanikiwa kutawala soko la mafuta kwa kiasi kikubwa
sana, baada ya biashara kwenda vizuri akiwa na ndugu zake wa karibu…
John Rockefeller aliweza kuwa Mmarekani wa kwanza kufikisha utajiri wa
dola billioni moja.
Zaidi ya biashara, John Rockerfeller
alitumia utajiri wake mwingi kwenye ku-invest ndani ya masuala ya
utafiti wa kisayansi kwenye mambo ya dawa za binadamu, elimu na kusaidia
watu kwenye foundation yake ambapo kwenye research alizowahi kuwekeza
pesa zake na kuweza kupata mafanikio makubwa hasa kwenye kutokomeza
janga la homa ya manjano kipindi hicho na minyoo inayoitwa hookworm.
Kumbukumbu ya John Rockefeller kwenye sekta
ya elimu bado ipo hadi leo kwasababu ndiye mwazilishi wa vyuo vikuu
vitatu huko Marekani ambavyo ni University of Chicago, Rockerfeller
University na Central Philippine University.
BONGO NEWS 4 NEWS#
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Total Pageviews
About Us
Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.
Recent Posts
Ads 468x60px
Blog Archive
Followers
IN ENTERTAINMENT
ADVERTISE MENT
**ADVERTISE MENT**
Pages
VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )
STAR VOTE
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako hur...
-
A still from the video in which Yemeni girl Nada Al-Ahdal pleaded with parents not to arrange marriages for their young children, b...
-
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2013/2014) sasa utafungwa Jumatatu (Agosti 5 mwaka huu) badala ya Agosti 3 mwa...
-
UMEONA PICHA ZA WASANII WATAOTUMBUIZA KIGOMA KATIKA KILL TOUR WALIPOWASILI KIGOMA? BASI ZICHEKI HAPAKundi la kwanza la wasanii watakaotumbuiza katika tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2013 limewasili mkoani Kigoma kwa ajil...
-
Waziri wa uchukuzi Prof. Harrison Mwakyembe amemtaja mshukiwa mmoja wa dawa za kulevya aitaye Nassoro Mangunga, lakini mshuki...
No comments :
Post a Comment