HUYU NDIYE WAZIRI WA KWANZA MWEUSI ITALIA ALIYEBAGULIWA
Italia
bado imendelea kukumbwa na wimbi kubwa la ubaguzi wa rangi pale Waziri
wa Kwanza Mweusi alipotupiwa ndizi alipokuwa akihutubia katika
mkutano
wa Chama.
Waziri wa Ushirikiano ni Mwitalia wa kwanza mweudi aliyeteuliwa hivi
karibuni na amekuwa akipata taabu sana kutokana na dhana ya ubaguzi
iliyojengeka miongoni mwa raia wa Italia. Cesile Kyenge ni mzaliwa wa
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye amekuwa akipigania haki ya
wahamiaji kupata uraia wa kudumu wa Italia.
Muda mfupi kabla ya tukio hilo siku ya Ijumaa, wanachama wa mrengo wa
kulia Forza Nuova waliandamana wakipinga kampeni ya Waziri Kyenge ya
kutaka kumpa uraia mtu yeyote isipokuwa aliyezaliwa katika ardhi ya
Italia.
“Uhamiaji Unaua” viliandikwa baadhi ya vipeperushi ambapo ndiyo ilikuwa
kauli mbiu ya Forza Nuova wakimaanisha kuwa mauaji mengi yaliyofanyika
Italia yalisababishwa na Wahamiaji.
Ingawa ndizi alizokuwa akitupiwa zilimkosa, Waziri Kyenge alijibu katika
mtanda wa kijamii wa twiter “sad” huzuni kwa kutupa chakula hasa katika
wakati huu wa mgogoro wa kiuchumi.
“Ujasiri wa kubadilisha hali ya mambo unatoka ndani mwa mtu” alisema waziri Kyenge.
Hata hivyo, Waziri Kyenge amekuwa akikabiliwa na matusi mara kwa mara
hata kutoka kwa wanasiasa wengine. Mapema mwezi huu, Mbunge mwanamizi wa
kaskazini anayepinga sheria ya uhamiaji alimtukana matusi na
kumlinganisha na “orangutan” Hata hivyo aliomba msamaha baadaye.
Sababu ya kumtupia NDIZI ni kuwa imewaudhi FAR-RIGHT PARTY kwa kupendelea IMMIGRATION
** Integration minister Cecile Kyenge has angered far-rights groupsShe
is attempting to make it easier for immigrants to gain Italian
citizenship
OK, Ndizi Ilimkosa... she's tough... Angalia alivyokuja na JIBU kwenye TWITTER!!!
Although the bananas missed the stage where Kyenge was speaking, she
responded to the gesture on Twitter, calling it "sad" and a waste of
food, considering the economic crisis.
"The courage and optimism to change things has to come above all from the bottom up to reach the institutions," she added.
Bravo; Ni Tough... How backwards and behind the times the ITALIANS as country regarding
race Is?
Like What Nelson Mandela, used to say FIGHT THE GOOD FIGHT!!!... NEVER GIVE UP!!!!
BONGO NEWS 4 NEWS#
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako hur...
-
A still from the video in which Yemeni girl Nada Al-Ahdal pleaded with parents not to arrange marriages for their young children, b...
-
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2013/2014) sasa utafungwa Jumatatu (Agosti 5 mwaka huu) badala ya Agosti 3 mwa...
-
-
Kundi la kwanza la wasanii watakaotumbuiza katika tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2013 limewasili mkoani Kigoma kwa ajil...
-
-