Star wa Movie za Naija, Genevieve Nnaji kasema hajakutana na mwanaume kimwili kwa miaka 10 sasa.
Kwenye zile stori za umbea kwa sasa huko Nigeria hii ni moja kati ya kubwa zake…
Mastaa wa kiwanda cha burudani mahali popote pale iwe ni Marekani au hapa nyumbani bongo wamekuwa na kawaida ya kujaribu kuhakikisha wanatafuta njia mbalimbali za ku-make headlines ambazo zitawafanya waweze kuendelea kuwa maarufu au kujipa promo kwa lengo flani.
Mastaa wa kiwanda cha burudani mahali popote pale iwe ni Marekani au hapa nyumbani bongo wamekuwa na kawaida ya kujaribu kuhakikisha wanatafuta njia mbalimbali za ku-make headlines ambazo zitawafanya waweze kuendelea kuwa maarufu au kujipa promo kwa lengo flani.
Star wa Movie za Naija, Genevieve Nnaji ametoa kauli ambayo inaweza ikawa kali ya mwaka baada ya kuanika wazi kabisa siri zake za ndani za ishu za mapenzi yani.
Anakwambia hajawahi kufanya mapenzi kwa muda wa miaka kumi sasa hivi,
amekuwa single kwa muda mrefu na kuna kipindi aliamua kuwekeza mawazo
yake kwenye career au kazi yake ambayo ni kutengeneza filamu na ndio
maana amekaa muda wote huo bila kufanya mapenzi.
Watu wengi watashangazwa na kauli hii kwa kuwa miaka si mingi staa
huyu alikuwa akidaiwa ku-date na mwimbaji D’Banj ambapo anasema wakati
anaingia kwenye uhusiano na mwimbaji huyo, D alisisitiza kuwa uhusiano
huo sio wa muda mrefu na ndio maana wameachana.
Genevieve amewachanganya mashabiki wake kwa kauli nyingine yenye
utata akizungumzia uhusiano wake na D’Banj ambapo alisema kuwa msanii
huyo ana ‘uume’ mdogo, aliuona vipi wakati anadai hajafanya mapenzi kwa
miaka kumi? swali gumu hilo…
BONGO NEWS 4 NEWS#
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Total Pageviews
About Us
Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.
Recent Posts
Ads 468x60px
Blog Archive
Followers
IN ENTERTAINMENT
ADVERTISE MENT
**ADVERTISE MENT**
Pages
VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )
STAR VOTE
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako hur...
-
A still from the video in which Yemeni girl Nada Al-Ahdal pleaded with parents not to arrange marriages for their young children, b...
-
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2013/2014) sasa utafungwa Jumatatu (Agosti 5 mwaka huu) badala ya Agosti 3 mwa...
-
UMEONA PICHA ZA WASANII WATAOTUMBUIZA KIGOMA KATIKA KILL TOUR WALIPOWASILI KIGOMA? BASI ZICHEKI HAPAKundi la kwanza la wasanii watakaotumbuiza katika tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2013 limewasili mkoani Kigoma kwa ajil...
-
Waziri wa uchukuzi Prof. Harrison Mwakyembe amemtaja mshukiwa mmoja wa dawa za kulevya aitaye Nassoro Mangunga, lakini mshuki...
No comments :
Post a Comment