MCHUMBA WA ACTRESS ROSE NDAUKA AFUNGUKA BAADA YA ROSE KUDAIWA KUNASWA HOTELINI NA JAMAA MWINGINE.
Gazeti moja la udaku limeripoti kuwa actress maarufu nchini Rose Ndauka alinaswa akipapaswa kimahaba ndani ya gari na jamaa flani anayefanana na Diamond, ambaye anaitwa Nasoro Ayoub(Nasry) au Tajiri Boy na habari hizo kusambaa mitandaoni. Ilidaiwa baada ya Rose kushikwa shikwa kimahaba na jamaa huyo walienda katika hoteli na kudaiwa kuvunja amri ya sita. Baada ya habari hiyo ambayo tuliiweka hata hapa SWP bila ku-edit neno lolote na mashabiki wa muigizaji huyo mwenye mvuto na kipaji cha kuigiza kutaka wasikie upande wa pili yaani Rose mwenyewe Swahiliworldplanet ilibidi kumtafuta star huyo aliyejipatia umaarufu kwa filamu kibao. Rose alipotafutwa na kuelezwa kila kitu alijibu kwa kutoa namba ya Malick Bandawe(Chiwa Man) ambaye ni mchumba'ke ili yeye atoe ufafanuzi wa issue hiyo "07179.........hiyo ni namba ya mchumba wangu mpigie upate ukweli nimechoshwa na hizo media" alisema Rose.
Baada ya kupata namba ya Malick Bandawe(Chiwa Man) ambaye pia ni mwanamuziki wa Bongofleva na muasisi wa kundi la TNG Squad ilibidi kumueleza issue hiyo na bila hiyana alijibu "Kitu ninachokijua ni kuwa hawa watu walimpigia simu Rose kwa maana ya kutaka kufanya nae kazi na wakaambiana wakutane pale Ndeka na Rose alifanya hivyo wakawa juu wanamngojea kwenye restaurant. Na walishindwana kibiashara na Rose akaondoka hotelini hapo na hakuna jengine ila huyo jamaa ndiyo akaanza na story hizo". Chiwa Man alimalizia kwa kusema kuwa yeye na Rose wako poa kabisa katika uchumba wao sema tatizo ni hao jamaa kutaka kutafuta jina kupitia kazi waliofanya yeye na Rose hivi karibuni "tuko poa kabisa tatizo zaidi ni hao jamaa kutafuta jina kutokana na kazi aliyofanya Rose na mimi juzi'.
Kama ulikosa kusoma habari hiyo basi isome hapa Rose Ndauka afumwa hotelini akipapaswa na njemba.
BONGO NEWS 4 NEWS#
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Total Pageviews
About Us
Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.
Recent Posts
Ads 468x60px
Blog Archive
Followers
IN ENTERTAINMENT
ADVERTISE MENT
**ADVERTISE MENT**
Pages
VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )
STAR VOTE
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako hur...
-
A still from the video in which Yemeni girl Nada Al-Ahdal pleaded with parents not to arrange marriages for their young children, b...
-
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2013/2014) sasa utafungwa Jumatatu (Agosti 5 mwaka huu) badala ya Agosti 3 mwa...
-
UMEONA PICHA ZA WASANII WATAOTUMBUIZA KIGOMA KATIKA KILL TOUR WALIPOWASILI KIGOMA? BASI ZICHEKI HAPAKundi la kwanza la wasanii watakaotumbuiza katika tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2013 limewasili mkoani Kigoma kwa ajil...
-
Waziri wa uchukuzi Prof. Harrison Mwakyembe amemtaja mshukiwa mmoja wa dawa za kulevya aitaye Nassoro Mangunga, lakini mshuki...
No comments :
Post a Comment