MFANYABIASHARA MWINGINE WA MADINI ARUSHA AUWAWA
MFANYABIASHARA
wa madini ya Tanzanite, Bw. Steven Alex, amepigwa risasi jana jioni na
watu wanaodhaniwa kuwa majambazi eneo la Pangani, jijini Arusha na
kuporwa zaidi ya sh. milioni 60.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, walisema mfanyabiashara huyo
alikuwa ndani ya gari lake akiwa amepaki eneo la Pangani ili aweze
kulipa madeni kwa watu waliokuwa wamemuuzia madini.
Walisema ndani ya gari hilo ambalo lilifungwa vioo, alikuwa na wenzake
wawili ambapo ghafla walitokea vijana watatu waliokuwa na pikipiki aina
ya Toyo ambazo namba zake hazikufahamika wakiwa wameifunika na mifuko ya
nailoni.
“Walimgongea dirishani wakitaka afungue mlango, huyu mfanyabiashara
hakufungua ndipo vijana hao walichomoa bastola na kuanza kugonga tena
kwenye dirisha la gari."
KWA HISANI YA VIJIMAMBO BLOG
BONGO NEWS 4 NEWS#
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Total Pageviews
About Us
Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.
Recent Posts
Ads 468x60px
Blog Archive
Followers
IN ENTERTAINMENT
ADVERTISE MENT
**ADVERTISE MENT**
Pages
VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )
STAR VOTE
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako hur...
-
A still from the video in which Yemeni girl Nada Al-Ahdal pleaded with parents not to arrange marriages for their young children, b...
-
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2013/2014) sasa utafungwa Jumatatu (Agosti 5 mwaka huu) badala ya Agosti 3 mwa...
-
UMEONA PICHA ZA WASANII WATAOTUMBUIZA KIGOMA KATIKA KILL TOUR WALIPOWASILI KIGOMA? BASI ZICHEKI HAPAKundi la kwanza la wasanii watakaotumbuiza katika tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2013 limewasili mkoani Kigoma kwa ajil...
-
Waziri wa uchukuzi Prof. Harrison Mwakyembe amemtaja mshukiwa mmoja wa dawa za kulevya aitaye Nassoro Mangunga, lakini mshuki...
No comments :
Post a Comment