MKURUGENZI WA KAMPUNI YA FILAMU FIVE EFFECT "MTITU" ROHO MKONONI! SOMA KISA HAPA
SIKU chache baada ya kutangaza kuanza kusambaza filamu, Mkurugenzi wa Five Effect ametishiwa usalama na watu wasiojulikana.
Chanzo
makini kimepenyeza habari kuwa, Mtitu alipoingiza filamu yake ya Omega
mapema Jumatatu hii, watu wanaodaiwa kuwa ni wamiliki wa kampuni ya
kusambaza kazi za wasanii wamemtishia kuwa wana mpango wa kumdhuru yeye
ili asiendelee na kazi hiyo.
“Wamepitisha meseji ya vitisho kupitia
kwa watu wao wa karibu ambao ni marafiki zangu, wakanitonya kuwa wana
mpango wa kuniangamiza ili nisiwaharibie biashara yao,” alisema Mtitu na
kuongeza:
“Kimsingi mimi simuogopi mtu, baada ya hii Omega natarajia kuingiza filamu ya Nyati ambayo itatoka siku si nyingi.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
BONGO NEWS 4 NEWS#
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako hur...
-
A still from the video in which Yemeni girl Nada Al-Ahdal pleaded with parents not to arrange marriages for their young children, b...
-
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2013/2014) sasa utafungwa Jumatatu (Agosti 5 mwaka huu) badala ya Agosti 3 mwa...
-
-
Kundi la kwanza la wasanii watakaotumbuiza katika tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2013 limewasili mkoani Kigoma kwa ajil...
-
-
Waziri wa uchukuzi Prof. Harrison Mwakyembe amemtaja mshukiwa mmoja wa dawa za kulevya aitaye Nassoro Mangunga, lakini mshuki...
No comments :
Post a Comment