Recent Posts

coments

HOT HEAD LINES

NEWS+HABARI-ZAIDI

Archive

ALL HERE DONE BY |

ALL HERE DONE BY |

**ADVERTISEMENT**

**ADVERTISE**

**ADVERTISE**

HAPPY BIRTH DAY

HAPPY BIRTH DAY
Powered by Blogger.

Huyu Ndiye Mwigizaji Wa Kike anae ongoza Kwa Kulipwa Pesa Nyingi, soma kujua ana lipwa shilingi ngapi Katika Filamu Moja

No comments



Mwigizaji mkongwe, Angelina Jolie ametajwa kama ndiye mwigizaji wa kike anayelipwa zaidi duniani licha ya mwanadada huyu kutokutokea katika filamu hususan katika nafasi ya uhusika mkuu toka mwaka 2010 katika filamu maarufu ya 'The Tourist'


Kutoka katika ripoti ya Forbes , Jolie katika kipindi cha mwezi June mwaka jana na June mwaka huu, ameingiza kiasi cha dola milioni 33, zaidi ya shilingi bilioni 48 za kitanzania.

Za chini ya carpet zinaweka wazi kuwa, kutoka deal ya kushiriki katika filamu mpya 'Maleficent' pekee ambayo itatoka July mwaka kesho, jolie amelipwa dola milioni 15 ambayo ni zaidi ya shilingi bilioni 24 za ki-tanzania na pesa hizi zote ni pembeni ya deals nyingine alizonazo.

JFYI: Angelina Jolie pia analipwa dola milioni 10, zaidi ya shilingi bilioni 16 za kitanzania kwa kuwa balozi na uso wa bidhaa za brand maarufu ya Louis Vuitton.
BONGO NEWS 4 NEWS#

No comments :

Post a Comment

Total Pageviews

About Us

Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.

Ads 468x60px

Blog Archive

Followers

IN ENTERTAINMENT

ADVERTISE MENT

**ADVERTISE MENT**

**ADVERTISE MENT**

VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )

TOP HEAD LINES