Recent Posts

coments

HOT HEAD LINES

NEWS+HABARI-ZAIDI

Archive

ALL HERE DONE BY |

ALL HERE DONE BY |

**ADVERTISEMENT**

**ADVERTISE**

**ADVERTISE**

HAPPY BIRTH DAY

HAPPY BIRTH DAY
Powered by Blogger.

SIKU YA JANA, ILIKUA MBAYA KWA ARSENAL WENGER BAADA YAKUFUNGWA

No comments


  Amefunga: Drogba amefunga mabao dakika za lala salama Kombe la Emirates
 
MSHAMBULIAJI Didier Drogba ameendelea kuwa mwiba kwa Arsenal akikumbushia enzi zake alipokuwa na jezi ya Chelsea, baada ya mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 35 siku ya jana kufunga mabao mawili na kuiwezesha klabu yake, Galatasaray kutwaa Kombe la Emirates.
 
Kweli, ni mashindano ya kirafiki na hayana maana yoyote katika msimu, lakini lilikuwa kama pigo lingine kwa kikosi cha Arsene Wenger.
  Spot on: Drogba sends Wojciech Szczesny the wrong way
               Kitu nyavuni: Drogba akimuuza Wojciech Szczesny
 
Mfaransa huyo aliwaka ile mbaya kana kwamba mashindano hayo yana maana yoyote. 
 
Alimfokea refa wa akiba, Andre Marriner baada ya refa Jon Moss kuwazawadia penalti wapinzani dakika 12 kabla ya filimbi ya mwisho kutokana na Ignasi’s Miquel kumsukuma mshambuliaji huyo wa Ivory Coast.
 
Drogba alikwenda mwenyewe kupiga penalti hiyo na kumpeleka upande tofauti kipa Wojciech Szczesny na mpira alipoupiga. 
 
Drogba akafunga tena zikiwa zimesalia dakika nne, baada ya kupokea pasi ya Wesley Sneijder na kumuacha Per Mertesacker, kabla ya kumtungua tena Szczesny.
 
Arsenal ndiyo waliokuwa wa kwanza kupata bao katika mchezo huo dakika ya 38, mfungaji Theo Walcott. 
Katika mchezo huo, kikosi cha Arsenal kilikuwa; Szczesny, Jenkinson, Sagna, Mertesacker, Gibbs/Miquel dk69, Arteta, Ramsey, Oxlade-Chamberlain, Cazorla/Zelalem dk61, Walcott na Sanogo/Giroud dk61.
 
Galatasaray Muslera; Semih, Riera, Chedjou, Eboue, Melo/Sarioglu dk66, Engin Baytar/Gulselam dk32,Altintop/Colak, dk45, Amrabat, Elmander/Drogba dk45, Umut Bulut/Sneijder dk45.
Remember me? Drogba celebrates after the final whistle
Mnanikumbuka? Drogba akishangilia baada ya kufunga bao la pili
Opener: Walcott watched his cross-come-shot give Arsenal the lead
La kwanza: Walcott akishuhudia krosi yake ikiipa Arsenal bao la kuongoza
Smiles all round: Walcott celebrates with his Arsenal teammates
Walcott akishangilia na wachezaji wenzake wa Arsenal
Return home: Emamanuel Eboue (right) captained Galatasaray on his return to former club Arsenal
Amerudi nyumbani: Emamanuel Eboue (kulia) alikuwa Nahodha wa Galatasaray ilipomenyana na timu yake ya zamani leo, Arsenal
New man: Yaya Sanogo made a promising start in his first Emirates appearance
Mtu mpya: Yaya Sanogo ameng'ara katika michuano yake ya kwanza ya Kombe la Emirates
No holding back: Johan Elmander of Galatasaray battles with Kieran Gibbs of Arsenal
Johan Elmander wa Galatasaray akipambana na Kieran Gibbs wa Arsenal
Disappointment: Arsenal manager Arsene Wenger looks on during his side's defeat
KICHAPO CHA MAGOLI KILI MPAGAWISHA.

SOURCE 2JIACHIE BLOG

BONGO NEWS 4 NEWS#

No comments :

Post a Comment

Total Pageviews

About Us

Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.

Ads 468x60px

Blog Archive

Followers

IN ENTERTAINMENT

ADVERTISE MENT

**ADVERTISE MENT**

**ADVERTISE MENT**

VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )

TOP HEAD LINES