Recent Posts

coments

HOT HEAD LINES

NEWS+HABARI-ZAIDI

Archive

ALL HERE DONE BY |

ALL HERE DONE BY |

**ADVERTISEMENT**

**ADVERTISE**

**ADVERTISE**

HAPPY BIRTH DAY

HAPPY BIRTH DAY
Powered by Blogger.

FILAMU YA WITCH DOCTOR YAKIMBIZA SOKONI

No comments
witch doctor
Filamu ya witch doctor kutoka Swahilihood.
FILAMU ya Witchdoctor imeingia sokoni na kufanya vizuri filamu hiyo imetayarishwa na mwanadada mahiri katika utayarishaji wa filamu Bongo Jenefer
Kyaka maarufu kama Odama ambaye amekuwa akifanya vizuri katika tasnia ya filamu, kwa kupitia kampuni yake ya J- Film 4 Life.

.
Jenifer Kyaka
Odama mtayarishaji wa filamu ya Witch Doctor.
Haji adam
Baba Haji mshiriki wa filamu hiyo.
Witchdoctor
Filamu ya Witch doctor.
Filamu ya Witch Doctor imewashirikisha wasanii nyota Swahilihood wakali wa kuigiza kama vile Haji adam ‘Baba Haji’, Stanley Msungu ‘Senetor’, Hamis Korongo ‘Mzee Korongo’, Idrisa Makupa ‘Kupa’, Jenifer Kyaka ‘Odama’ na wasanii wengine wakali katika tasnia ya filamu Swahilihood.
Filamu ya Witch doctor imeingia Sokoni siku ya jumanne tarehe 13/08/2013 kazi hiyo inasambazwa na kampuni ya Steps Entertainment na inapatikana nchi nzima katika Dvd maduka yote yanayouza filamu za kitanzania.
CREDIT:SWAHILIHOOD.CO.TZ
BONGO NEWS 4 NEWS#

No comments :

Post a Comment

Total Pageviews

About Us

Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.

Ads 468x60px

Blog Archive

Followers

IN ENTERTAINMENT

ADVERTISE MENT

**ADVERTISE MENT**

**ADVERTISE MENT**

VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )

TOP HEAD LINES