Recent Posts

coments

HOT HEAD LINES

NEWS+HABARI-ZAIDI

Archive

ALL HERE DONE BY |

ALL HERE DONE BY |

**ADVERTISEMENT**

**ADVERTISE**

**ADVERTISE**

HAPPY BIRTH DAY

HAPPY BIRTH DAY
Powered by Blogger.

Nadir Canavarro na bahati yake Yanga

No comments


Nahodha mpya wa Yanga Africa Nadir Haroub Ally Canavarro ameanza kukitumikia cheo chake cha unahodha na bahati ya kunyanyua taji lake la kwanza.

Canavarro ambaye hapo kabla alikuwa nahodha msaidizi wa klabu hiyo amechukua mikoba ya unahodha kutoka kwa Shadrack Nsajigwa aliyemaliza mkataba na sasa amegeukia kazi ya ukocha akiifundisha Lipuli ya Iringa.

Tokea amekabidhiwa cheo hicho hilo ni taji lake la kwanza kupokea,wakilipata baada ya kuwashinda Waoka mikate wa Azam FC kwa bao 1-0 lililofungwa na Salum Telela kwenye mchezo wa ngao ya jamii uliochezwa uwanja wa Taifa Dar Es Salaam.

Katika mchezo huo uliochezwa uwanja wa Taifa umeshuhudia wachezaji wa zamani wa Simba beki Kelvin Yondan na kipa Ally Mustapha Barthez wakishindwa kuendelea na mchezo katika dakika 20 za kwanza za kipindi cha kwanza baada ya kuumia na kushindwa kurudi uwanjani.

Nafasi ya Yondan ilichukuliwa na Mbuyu Twite wakati nafasi ya Barthez ikachukuliwa na kipa mpya aliyetokea Azam Deogratius Munishi Dida.

Mchezo huo wa ngao ya jamii umefungua msimu mpya wa ligi kuu ya Tanzania bara unaoanza kuunguruma wikiendi ijayo ya August 24 na Yanga watafungua pazia kwa kucheza na Ashanti United watoto wa Ilala waliorejea kwa mara nyingine katika ligi kuu. BONGO NEWS 4 NEWS#

No comments :

Post a Comment

Total Pageviews

About Us

Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.

Ads 468x60px

Blog Archive

Followers

IN ENTERTAINMENT

ADVERTISE MENT

**ADVERTISE MENT**

**ADVERTISE MENT**

VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )

TOP HEAD LINES