Recent Posts

coments

HOT HEAD LINES

NEWS+HABARI-ZAIDI

Archive

ALL HERE DONE BY |

ALL HERE DONE BY |

**ADVERTISEMENT**

**ADVERTISE**

**ADVERTISE**

HAPPY BIRTH DAY

HAPPY BIRTH DAY
Powered by Blogger.

HATA HAO VIONGOZI UTUTOLEA MACHO YA KUTUTAKA- BATULI

No comments

Yobnesh Yusuf

Batuli mwigizaji wa filamu Swahilihood.
MWIGIZAJI Mkongwe katika tasnia ya filamu Swahiliwood Yobnesh Yusuf ‘ Batuli’ ameweka wazi jinsi tasnia ya filamu ilivyo na changamoto nyingi na kujikuta waliomo humo wanakabiriwa na mitihani mingi hata kwa wale ambao wangekuwa msaada kwa kuwasaidia na kusonga mbele kisanaa badala yake uwatolea macho kwa kuwatamani.
.

Yobnesh Yusuf
Batuli akiwa katika pozi
Yobnesh Yusuf
Batuli akiwa katika pozi.
Yobnesh Yusuf
Batuli akiwa katika pozi
“Mimi nasema hata bila uoga kabisa sisi akina dada wa Bongo movie tuna mitihani kweli kwani hata hao wakubwa wenyewe ambao ndio msaada ukikutana nao hakuna lolote badala ya kukusaidia kwa kazi yako anakutongoza na shughuli ndio imeisha, mtu anakuita kwa kigezo cha kupitia filamu yako lakini mkiona anakutolea macho anakutaka sasa na wewe filamu hazilipi na unahitaji maisha mazuri,”anasema Batuli.
.
Yobnesh Yusuf
Batuli akiwa katika pozi kali .
Msanii huyo anasema kuwa anaona wazi kabisa wasanii wa filamu kufanikiwa kwa wakati inakuwa ngumu sana kwani kila mtu anataka kuwa kuwatumia kwa ngono tu kwa sababu anajuwa kuwa wanashida na wanahitaji kutoka, Batuli anasema kuwa pamoja na kuigiza vizuri lakini fursa bado ni chache kwani taasisi kama Basata na nyingine hazijui wajibu wake.
Batuli alienda mbali kwa kutolea mifano wasanii kama wa Naijeiria na nchi zilizoendelea wanavyofaidika na kazi zao bila kutegemea Mapedeshee hali iliyopo Bongo hata wale ambao wangekuongoza na kukuonyesha njia wanakutamani na kukutolea macho, pia msanii amedai kuwa tabia hiyo inashamiri kutokana na baadhi ya wasanii wanapokutana na waheshimiwa badala ya kuongelea soko la filamu utanguliza shida zao.
BONGO NEWS 4 NEWS#

No comments :

Post a Comment

Total Pageviews

About Us

Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.

Ads 468x60px

Blog Archive

Followers

IN ENTERTAINMENT

ADVERTISE MENT

**ADVERTISE MENT**

**ADVERTISE MENT**

VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )

TOP HEAD LINES