Recent Posts

coments

HOT HEAD LINES

NEWS+HABARI-ZAIDI

Archive

ALL HERE DONE BY |

ALL HERE DONE BY |

**ADVERTISEMENT**

**ADVERTISE**

**ADVERTISE**

HAPPY BIRTH DAY

HAPPY BIRTH DAY
Powered by Blogger.

‘Diamond Platinum’, amefunguka mengi juu ya historia ya maisha yake.....soma hapa

No comments
MKALI wa muziki wa bongo fleva nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’, amefunguka mengi juu ya historia ya maisha yake na changamoto alizozipitia katika safari yake ya muziki mpaka kufikia hapa, katika semina ya Fursa, iliyoandaliwa na Clouds Fm katika kila mkoa tamasha la Fiesta linapopita.
Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’
Diamond alikuwa ni mmoja wa wasemaji, watoa maada mbele ya mamia ya wakazi wa Tabora katika kuhamasisha vijana kuzijua fursa na kuzitumia ili kujiletea maendeleo katika maisha yao.
Kwa mujibu wa Diamond, mwaka 2008 na 2009 alikuwa akifanya kazi katika kiwanda cha mabegi kilichoko Mikocheni na kulipwa mashahara wa shilingi 2,000 kwa masaa 8, huku nauli ikimgharimu shilingi 1,000 mpaka kufika kwao na hapo chakula ni zaidi ya shilingi 1,000.
“Ukimuona mtu ana mafanikio kiukweli ujue amehangaika sana, mimi katika maisha yangu sikuwahi kufikiria kama ningelikuja kupanda ndege kwa kutumia pesa yangu, namshukuru sana Mungu na haya ni matunda ya kazi ngumu ambazo huwa nazifanya,” alisema.
Msanii huyo aliwataka wapenzi wa kazi zake kufanya kazi kwa bidii kwa kipindi kifupi ili kufanikiwa katika maisha yao na kuonekana watu katika jamii na sio kudharaulika.
BONGO NEWS 4 NEWS#

No comments :

Post a Comment

Total Pageviews

About Us

Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.

Ads 468x60px

Blog Archive

Followers

IN ENTERTAINMENT

ADVERTISE MENT

**ADVERTISE MENT**

**ADVERTISE MENT**

VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )

TOP HEAD LINES