WEMA SEPETU BILA KAJALA NAJIONA MTUPU
KASUMBA ya wanawake wengi kuwaambia mashoga zao siri zao nzito
inadaiwa kumfanya msanii maarufu wa filamu Bongo, Wema Sepetu kufunguka
kuwa, bila kuwa karibu na Kajala Masanja itakuwa ni kama kuamua kutembea
mtupu.
Wema Sepetu na Kajala Masanja.
Wema alifikia hatua ya kutoa maneno hayo katikati ya wiki hii kwa
kuposti picha kwenye mtandao wa Instagram ikimuonesha yeye, meneja wake
Martin Kadinda na Kajala huku akisindikiza na ujumbe mzito uliosomeka:
“I always call my poch and I fell so naked without, I need her everywhere with me. I hope that’s how they out each other.”
Aliandika kimombo, alimaanisha nini?
Tafsiri ya maneno hayo ni kwamba, Wema anamchukulia Kajala kama pochi yake na bila yeye anajihisi yuko uchi kiasi kwamba anataka kila sehemu wawe wote.
Tafsiri ya maneno hayo ni kwamba, Wema anamchukulia Kajala kama pochi yake na bila yeye anajihisi yuko uchi kiasi kwamba anataka kila sehemu wawe wote.
Kajala amjibu
Baada ya Wema kutundika ujumbe huo, Kajala naye alijitutumua na kutupia maneno ya kumshukuru (Wema) huku akieleza kuwa, kama ni hivyo yeye hana la kusema.
“Nimeyapenda maneno hayo, kama ni hivyo mimi sina la kusema,” aliandika Kajala kwenye mtandao huo.

Kwa nini Wema aseme hivyo?
Yawezekana Wema alimaanisha vingine lakini wachambuzi wa mambo wamekuwa na maoni yao huku wengi wakieleza kuwa, inawezekana Wema anasema hivyo kutokana na ukweli kwamba Kalaja anajua siri zake nyingi.

“Unajua
Wema amekuwa na marafiki wengi sana lakini inavyoonekana Kajala
amemshiba sana na anajua siri zake nyingi. Wema anaposema bila Kajala
itakuwa ni kama anatembea uchi anamaanisha kuwa, wakikorofishana kuna
hatari ya kuanikana mambo yao nyeti.

Mwingine aliyejitambulisha
kwa jina la Mariam wa Kinondoni alisema: “Hawa wana siri nzito, kila
mmoja anajua mambo ya ndani ya mwenzake na ndiyo maana hakuna ambaye
yuko tayari kumtosa mwenzake, watazinguana lakini watarudiana.”
Kajala anasemaje?Jitihada za
kumtafuta Kajala kuzungumzia maoni yake juu ya ujumbe huo wa Wema ambapo
alisema, hana neno la kutia isipokuwa amefarijika tu kusikia anapendwa
kiasi hicho.
“Kwa kweli hata kama wewe unaambiwa hivyo lazima
utafurahi sana maana sikuwa najua kuwa napendwa na shosti wangu (Wema)
ila hata mimi nampenda sana yaani siwezi kueleza, hayo manenomaneno ya
watu hatuwezi kuyasikiliza,” alisema Kajala.
Msikie Wema
“Nilichokiandika nilikimaanisha, Kajala kwa sasa siyo rafiki yangu tena ni ndugu ambaye nampenda sana kutoka moyoni mwangu na nitampenda siku zote na ndiyo maana sijisikii kuwa mbali naye,” alisema Wema.

Watadumu?
Swali ambalo wengi wamekuwa wakijiuliza ni kama ushosti wa wawili hao utadumu kwani mara kadhaa imekuwa ikidaiwa kuwa wametibuana na baadaye kuonekana wako pamoja, mazingira yanayoashiria kuwa huenda siku moja wakazinguana moja kwa moja.

Hayo yanakuja kufuatia historia ya Wema ambaye amekuwa hadumu
na marafiki zake, mfano ukiwa kwa msanii Snura Mushi (staa wa Majanga)
ambaye waliwahi kuwa marafiki kupitiliza lakini baadaye wakatosana.
Credit:GLP
BONGO NEWS 4 NEWS#
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Total Pageviews
328724
About Us
Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.
Recent Posts
Ads 468x60px
Blog Archive
Followers
IN ENTERTAINMENT
SERENGETI FIESTA 2013 MKOANI MTWARA NOOOOOMAAAA SAAAANAAAAA
Wakazi wa Mtwara wajitokeza kwa wingi katika Tamasha la Burudani la...SAKATA LA MADAWA YA KULEVYA, DIAMOND APOKONYWA PASSPORT.., MASANJA MKANDAMIZAJI NAYE YUPO
Ni mwendelezo wa Sakata la unga ambalo sasa ni janga kwa taifa letu. Orodha...VIDEO YA YALIO JIRI UZINDUZI WA VIDEO MPYA YA DIAMOND "NUMBER ONE"
DIAMOND AKI ONGEA NA WAANDISHI WA HABARI Penny Mungilwa - Number 1...
ADVERTISE MENT
**ADVERTISE MENT**

Pages
VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )
STAR VOTE
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
MUZIKI ni kazi, mataifa mengi, hususan katika mabara ya Ulaya na Amerika Kaskazini, ume...
-
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako hur...
-
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2013/2014) sasa utafungwa Jumatatu (Agosti 5 mwaka huu) badala ya Agosti 3 mwa...
No comments :
Post a Comment