Recent Posts

coments

HOT HEAD LINES

NEWS+HABARI-ZAIDI

Archive

ALL HERE DONE BY |

ALL HERE DONE BY |

**ADVERTISEMENT**

**ADVERTISE**

**ADVERTISE**

HAPPY BIRTH DAY

HAPPY BIRTH DAY
Powered by Blogger.

LULU AFANYA SHOPPING KWA AJILI YA FOOLISH AGE.

No comments


Elizabeth Michael
Lulu Mwigizaji wa filamu Swahilihood.
MWIGIZAJI wa filamu wa kike mwenye mvuto katika vyombo vya habari Bongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameanza leo hii kufanya shopping kwa ajili ya uzinduzi wa filamu yake ya Foolish age katika ukumbi wa Mlimani City tarehe 30/ August/ 2013, Lulu alikuwa sambamba na FC katika Beauty Point maeneo ya Mayfair akinunua gauni lenye thamani kubwa.

.
Elizabeth Michael
Lulu akiwa Dukani
Elizabeth Michael
Akiingia Dukani Beauty Point
Elizabeth Michael
Lulu akiwa anafanya shopping katika duka
Elizabeth Michael
Lulu akilipa Milioni kadhaa kwa muuzaji.
Elizabeth Michael
Hot Lulu akiwa na nguo zake zinazogharimu kama dola nyingi.
“Nimekuja hapa kwa ajili ya kununua nguo kwa ajili ya uzinduzi wa filamu yangu ya Foolish Age Mlimani City, nataka kuandika historia katika tasnia ya filamu Tanzania nimejipanga kufanya mambo makubwa na ujio mpya wa Lulu akiwa katika maisha mapya nimekuja kuwaelimisha watanzania na jamii nzima kwa ujumla,”anasema.
Uzinduzi wa filamu ya Foolish Age utasindikizwa na burudani ya muziki kutoka kwa Lady Jay D na bendi yake ya Machozi, Barnaba, Amina na wasanii wengine pia kutakuwa Red Carpet kwa wageni na wasanii watakaohudhuria katika uzinduzi huo kiingilio ni 30,000 tu kwa mtu mmoja na meza itauzwa kwa Tshs. 300,000 wahi tiketi yako mapema.
1:ROBBY ONE FASHION(KINONDONI) 2:SHEAR ILLUSONS(MLIMANI CITY) 3:LEADERS CLUB(KINONDONI) 4:TCC CLUB(CHANG’OMBE) 5:BIG RESPECT(KARIOKOO) 6:ZIZZOU FASHION(SINZA & VICTORIA) 7:NYUMBANI LOUNGE.
BONGO NEWS 4 NEWS#

No comments :

Post a Comment

Total Pageviews

About Us

Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.

Ads 468x60px

Blog Archive

Followers

IN ENTERTAINMENT

ADVERTISE MENT

**ADVERTISE MENT**

**ADVERTISE MENT**

VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )

TOP HEAD LINES