"SINA MPANGO WA KUACHANA NA DIAMOND NA SIJAONA MWANAUME KAMA YEYE"....PENNY

Baada ya hivi karibuni kuandikwa habari iliyoeleza kwamba nchini Kenya
kuna demu aliyemzimikia ile mbaya mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’
huku akiahidi kumpa penzi zito, mpenzi wa msanii huyo Peniel Mwingilwa
‘Penny’ ameibuka na kudai hatishwi na maneno hayo.
Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Penny ambaye sasa anapika na
kupakuwa kwa Diamond alisema anamuamini sana mpenzi wake huyo na kwamba
kuhusishwa kwake na mambo ya mademu kila kukicha kunatokana na kazi
yake.
“Yatasemwa mengi lakini siwezi kumuacha Diamond, namuamini na najua haya
yote yanayotokea ni kwa sababu ya kazi yake kwa hiyo wanaodhani mimi
nitayachukua na kuamua kumuacha watasubiri sana, ndiyo kwanza penzi letu
linazidi kushamiri,” alisema Penny.
source: mpekuzi
BONGO NEWS 4 NEWS#
TOP HEAD LINES
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
MUZIKI ni kazi, mataifa mengi, hususan katika mabara ya Ulaya na Amerika Kaskazini, ume...
-
Millard Afrael Ayo alizaliwa Arusha January 26 akiwa ni mtoto wa kwanza kwenye famili ya watoto wanne ya Afrael Ayo ambae ni mme...
-
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako hur...
-
Tanzanian Housemate Feza has become the 20th Housemate to be booted out of The Chase
-
-
-
No comments :
Post a Comment