25 wajitosa uchaguzi TFF.
WAGOMBEA 25 wamejitokeza kuchukua fomu za kuwania nafasi
mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa Shirikisho la Soka Tanzania
(TFF), unaotarajiwa kufanyika Oktoba 27.
Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa TFF, Boniface Wambura, fomu hizo
zilianza kutolewa Agosti 16 na hadi jana, wagombea wawili wamejitosa
nafasi ya rais, ambao ni Jamal Malinzi na Omar Nkwarulo huku Makamu wa
Rais ni Ramadhani Nasib na Wallace Karia.
Aliwataja waliochukua fomu za kuwania ujumbe kuwa ni Athumani Kambi,
Charles Komba, Davis Mosha, Elias Mwanjala, Eliud Mvella ‘Wamahanji’,
Epaphra Swai, Farid Nahdi, Hussein Mwamba, Jumbe Magati, Kamwanga Tambwe
na Khalid Mohamed.
Wengine ni Muhsin Balhabou, Omari Abdulkadir, Omari Walii, Samwel
Nyalla, Shaffih
Dauda, Stanley Lugenge, Twahir Njoki, Vedastus Lufano,
Venance Mwamoto na Wilfred Kidau.
Kwa upande wa Bodi ya Ligi Kuu, aliyechukua fomu ni Hamad Yahya anayewania uenyekiti.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Total Pageviews
About Us
Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.
Recent Posts
Ads 468x60px
Blog Archive
Followers
IN ENTERTAINMENT
ADVERTISE MENT
**ADVERTISE MENT**
Pages
VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )
STAR VOTE
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako hur...
-
A still from the video in which Yemeni girl Nada Al-Ahdal pleaded with parents not to arrange marriages for their young children, b...
-
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2013/2014) sasa utafungwa Jumatatu (Agosti 5 mwaka huu) badala ya Agosti 3 mwa...
-
UMEONA PICHA ZA WASANII WATAOTUMBUIZA KIGOMA KATIKA KILL TOUR WALIPOWASILI KIGOMA? BASI ZICHEKI HAPAKundi la kwanza la wasanii watakaotumbuiza katika tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2013 limewasili mkoani Kigoma kwa ajil...
-
Klabu ya Arsenal io mbioni kukamisha usajili wa kiungo wa Real Madrid Mesut Ozil katika siku ya mwisho ya usajili barani ulaya. ...
No comments :
Post a Comment