TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 MKOANI SINGIDA PICHA ZIPO HAPA.
Msanii
machachari wa muziki wa bongofleva/filamu Shilole akiimba huku akiwa
amebebwa na shabiki wake,huku shangwe na miluzi za mashabiki zikiwa
zimetawala kila kona.
Baadhi
ya mashabiki waliojitokeza kucheza jukwaani,wakionesha umahiri wao wa
kukata nyonga mbele ya umati wa wakazi wa mji wa Tabora na vitongoji
vyake,waliojitokeza kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013 ndani ya
uwanja wa Al-Hassan Mwinyi.
Anajiita Raisi wa Manzese,kutoka kundi la Tip Top Connections,atambulikae kwa jina la Madee akiwaimbisha mashabiki wake wimbo wake wa NANI KAIBA POMBE YANGU.
Mashabiki wakiitikia kwa pamoja huku mikono yao wakipunga hewani.
Anajiita Raisi wa Manzese,kutoka kundi la Tip Top Connections,atambulikae kwa jina la Madee akiwaimbisha mashabiki wake wimbo wake wa NANI KAIBA POMBE YANGU.
Mashabiki wakiitikia kwa pamoja huku mikono yao wakipunga hewani.
Mmoja
wakali wa hip hop,Stamina akikamua jukwaani vilivyo mbele ya
umati wa wakazi wa mji wa Tabora na vitongoji vyake waliojitokeza
kushuhudia makamuzi ya wasanii mbalimbali wa tamasha la Serengeti Fiesta
2013.
Abdul
Kiba,msanii wa muziki wa bongofleva akiimba mbele ya umati mkubwa wa
wakazi wa mji wa Tabora waliojitokeza kwa wingi usiku huu kwenye tamasha
la Serengeti Fiesta 2013.
Sehemu
ya umati wa mji wa Tabora waliojitokeza kwa wingi usiku huu kwenye
tamasha la Serengeti Fiesta 2013,linalofanyika kwenye uwanja wa
Al-Hassan Mwinyi mkoani humu.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya,Neylee akiimba kwa hisia mbele ya wakazi wa
mji wa Tabora waliojitokeza kwa wingi usiku huu kwenye tamasha la
Serengeti Fiesta 2013,linalofanyika kwenye uwanja wa Al-Hassan Mwinyi
mkoani humu.Tamasha hilo linaandaliwa na kampuni bingwa ya Burudani
hapa nchini,Prime Time Promotions Ltd kwa kushirikiana na Clouds FM,na
kudhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti kupitia kinywaji chake murua
kabisa cha Serengeti Premium Lager.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya,Linah pichani kati akiwa na madensa wake
wakitumbuiza jukwaani usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013
ndani ya uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mkoani humu.
Sehemu
ya umati wa mji wa Tabora waliojitokeza kwa wingi usiku huu kwenye
tamasha la Serengeti Fiesta 2013,linalofanyika kwenye uwanja wa
Al-Hassan Mwinyi mkoani humu.
Anaitwa
Amin,mmoja wa wasanii mahiri akiwaimbisha mashabiki wake
kwenye u kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013,linalofanyika kwenye
uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mkoani humu. Tamasha hilo linaandaliwa na
kampuni bingwa ya Burudani hapa nchini,Prime Time Promotions Ltd kwa
kushirikiana na Clouds FM,na kudhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti
kupitia kinywaji chake murua kabisa cha Serengeti Premium Lager.
Wenyewe
mashabiki waki wanamuita Baba Levo na yeye kabaki Levo kwenye gemu ya
muziki wa bongofleva,ndiye pichani Baba Levo akiwaimbisha mashabiki wake
kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013 ndani ya uwanja wa
Al-Hassan Mwinyi mkoani Tabora.
Ni shwangwe tu usiku huu kwenye uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mkoani Tabora.
Wakali
wa kudansi kutoka THT,wakijulikana kwa jina la Makomanda wakionesha
umahiri wao wa kucheza jukwaani kwenye tamasha la Serengeti
Fiesta 2013.
Wanamuita
Mzee wa Masauti,Christian Bella akiwaimbisha mashabiki wake wa muziki
wa dansi usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta,liinalofanyika kwenye uwanja wa Al-Hassan Mwinyi.
Sehemu
ya umati wa wakazi wa mji wa Tabora waliojitokeza usiku huu kwenye
tamasha la Serengeti Fiesta 2013 wakiwa wamewasha tochi za simu zao
wakiashiria kushoo love ya pamoja
Msanii
wa muziki wa bongofleva,Rachael akicheza jukwaani na mmoja wa madensa
wake,huku mashabiki wake wakipiga mayowe ya shangwa kuonesha kukunwa
vilivyo na msanii huyo.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Total Pageviews
About Us
Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.
Recent Posts
Ads 468x60px
Blog Archive
Followers
IN ENTERTAINMENT
ADVERTISE MENT
**ADVERTISE MENT**
Pages
VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )
STAR VOTE
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako hur...
-
A still from the video in which Yemeni girl Nada Al-Ahdal pleaded with parents not to arrange marriages for their young children, b...
-
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2013/2014) sasa utafungwa Jumatatu (Agosti 5 mwaka huu) badala ya Agosti 3 mwa...
-
UMEONA PICHA ZA WASANII WATAOTUMBUIZA KIGOMA KATIKA KILL TOUR WALIPOWASILI KIGOMA? BASI ZICHEKI HAPAKundi la kwanza la wasanii watakaotumbuiza katika tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2013 limewasili mkoani Kigoma kwa ajil...
No comments :
Post a Comment