Kortini kwa kughushi saini ya Pinda...ni MFANYABIASHARA Amadi Ally Popi (35).
Habari na Happiness Katabazi
MFANYABIASHARA Amadi Ally Popi (35), jana alifikishwa katika
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, akikakabiliwa na makosa
mawili likiwemo la kughushi barua inayoonyesha imeandikwa na Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda.
Mbele ya Hakimu Mkazi Waliarwande Lema, Inspekta wa Polisi Hamis Said
alidai tarehe na siku isiyofahamika ndani ya jiji la Dar es Salaam, kwa
nia ya kudanganya Popi alighushi barua yenye kumbukumbu
Na,DA21/3078/01A/142 ya Desemba 3, 2012 akijaribu kuonyesha kuwa barua
hiyo ni halali na ilikuwa imeandikwa na kusainiwa na Waziri Mkuu,
Pinda.
Alidai shtaka lingine ni kuwa tarehe na siku isiyofahamika ndani ya
jiji la Dar es Salaam, bila ya kuwa na mamlaka yoyote alitengeneza
barua hiyo na kuisani na kisha alimpatia Islamu Mohammed Mtila
akijaribu kuonyesha barua hiyo imetoka katika Ofisi ya Waziri Mkuu na
imesainiwa na Pinda.
Mshtakiwa huyo alikana tuhuma hizo na kupelekwa rumande baada ya
kushindwa kutimiza masharti ya dhamana ya kuwa na wadhamini wawili
wanaofanya kazi serikalini au kwenye taasisi zinazofahamika watakaosaini
bondi ya sh milioni 10.
Pia mmoja wa wadhamini hao kuwasilisha mahakamani hati ya mali
isiyohamishika yenye thamani hiyo. Kesi itatajwa Septemba 5 mwaka huu
kwa kuwa upepelezi wake haujakamilika.
Chanzo:Gazeti la Tanzania Daima la Jumamosi Agosti 24 mwaka 2013.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Total Pageviews
About Us
Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.
Recent Posts
Ads 468x60px
Blog Archive
Followers
IN ENTERTAINMENT
ADVERTISE MENT
**ADVERTISE MENT**
Pages
VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )
STAR VOTE
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako hur...
-
A still from the video in which Yemeni girl Nada Al-Ahdal pleaded with parents not to arrange marriages for their young children, b...
-
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2013/2014) sasa utafungwa Jumatatu (Agosti 5 mwaka huu) badala ya Agosti 3 mwa...
-
UMEONA PICHA ZA WASANII WATAOTUMBUIZA KIGOMA KATIKA KILL TOUR WALIPOWASILI KIGOMA? BASI ZICHEKI HAPAKundi la kwanza la wasanii watakaotumbuiza katika tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2013 limewasili mkoani Kigoma kwa ajil...
-
Waziri wa uchukuzi Prof. Harrison Mwakyembe amemtaja mshukiwa mmoja wa dawa za kulevya aitaye Nassoro Mangunga, lakini mshuki...
No comments :
Post a Comment