Safari ya Kaseja gizani..kutokana na mawasiliano duni na viongozi wa klabu FC Lupopo ya DR Congo
HESABU za kipa Juma Kaseja kujiunga na FC Lupopo ya DR Congo,
zimeanza kutibuka kutokana na mawasiliano duni baina yake na viongozi wa
klabu hiyo kwa sasa, hivyo nyota huyo kutojua hatima yake katika msimu
huu.
Kaseja alisema jana hadi sasa hajui kinachoendelea kutokana na wakala
wake kutoka Lupopo, Ismael Bandua, kuwahi kushikiliwa nchini kwa kosa la
kuwepo bila kibali na tangu kwisha kwa suala hilo, hajawa na
mawasiliano naye.
Kaseja alisema baada ya kutakiwa kubadilishwa mkataba wake ambao
alikuwa bado hajamwaga wino kutoka lugha ya Kifaransa na kuwa Kingereza,
ndipo wakala wake Bandua alipokamatwa, hivyo suala lake kukwama na
hajui itakuweje.
“Mimi mpaka sasa sijui kinachoendelea, kwani sina mawasiliano nao,
tangu alipokamatwa wakala kwa kukosa kibali ndipo nilipoanza kukosa
mawasiliano,” alisema Kaseja.
Alipouliza juu ya hatma yake baada ya kujitokeza hali hiyo, bado Kaseja akasema hayuko tayari kuzungumza lolote:
“Unauliza kwa kunitega, tukomee katika suala hili la mkataba, mengine
we yaache tu, siwezi kusema lolote kwa sasa,” alisema Kaseja.
Baada ya wakala huyo kushikiliwa na Uhamiaji, alitakiwa kutumikia
kifungo cha miezi mitatu jela au kulipa faini ya shilingi 150,000,
sharti ambalo alilitimiza na kuachiwa, lakini kukiwa na ukimya wa kile
kinachoendelea juu ya mpango huo.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Total Pageviews
About Us
Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.
Recent Posts
Ads 468x60px
Blog Archive
Followers
IN ENTERTAINMENT
ADVERTISE MENT
**ADVERTISE MENT**
Pages
VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )
STAR VOTE
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako hur...
-
A still from the video in which Yemeni girl Nada Al-Ahdal pleaded with parents not to arrange marriages for their young children, b...
-
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2013/2014) sasa utafungwa Jumatatu (Agosti 5 mwaka huu) badala ya Agosti 3 mwa...
-
UMEONA PICHA ZA WASANII WATAOTUMBUIZA KIGOMA KATIKA KILL TOUR WALIPOWASILI KIGOMA? BASI ZICHEKI HAPAKundi la kwanza la wasanii watakaotumbuiza katika tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2013 limewasili mkoani Kigoma kwa ajil...
-
Waziri wa uchukuzi Prof. Harrison Mwakyembe amemtaja mshukiwa mmoja wa dawa za kulevya aitaye Nassoro Mangunga, lakini mshuki...
No comments :
Post a Comment