HEBU SOMA HII STATUS YA MWIGULU NCHEMBA ALIYOWEKA FACEBOOK THEN TOA MAONI YAKO
Written By Editor on Tuesday, August 20, 2013 | 2:57 PM
ONYO KALI KWA JESCA KISHOA (CHADEMA) KUNITUKANA JIMBONI KWANGU IWE MWANZO NA MWISHO.
Ndugu,
Jesca Kishoa,Nimepata habari na mkanda mzima wa mikutano yako ya kufungua matawi ya CHADEMA wilaya ya Iramba.
Umetumia siku nzima kunitukana,kunizushia na kuwazuia wananchi wangu kushiriki shughuli za maendeleo ya wilaya yao.
Sijajua kama ulitumwa kuja kunitukana ama ni Utashi wako.
Ninachotaka kukushauri usimfuate tena mamba kwenye kina kirefu cha
maji.Hata wakubwa wako wote,chama kizima huu mziki ulishawashinda na
bado wanahangaika nao kila siku bila mafanikio na katu hawata fanikiwa.!
Nimeona nikushauri tu kuwa unaweza kufungua matawi ya chama chako kila
kitongoji au kila mtaa lakini usirudie matusi kwangu na wala usirudie
kuwashawishi wananchi wangu washishiriki shughuli za maendeleo kwa jina
la kuwafundisha Elimu ya uraia.
Wilaya ya Iramba tumejenga maabara shule zote za kata(Boma za maabara) wewe hutaki kushiriki.
Tumefungua miradi ya maji kadhaa na mingine ipo kwenye hatua za mwisho katika vijiji na kata mbalimbali!
Tumejenga barabara za kuunganisha Wilaya ya Iramba yote iweze kupitika wakati wa masika na kiangazi!
Tumejenga zahanati,tunaongoza kwa mwaka wa pili mfululizo kwa huduma safi za Afya!
Tunafanya jitihada kuinua michezo ndani ya wilaya yetu,
Tumezungusha umeme wilaya ya Iramba na sasa tunapeleka umeme vijiji vyote vya Iramba.
Hivi CHADEMA mkoje,bila shaka hamna wazo mbala kwa maendeleo ya Wanairamba na Taifa hili mnaishia kutukana?
Wambie na waliokutuma msifungue matawi tu,jengeni makao makuu ya CHADEMA Kiomboi halafu tukutane kwenye uchaguzi.
Ukipata hata nusu ya kura zangu nitaandika barua kwenda tume wakutangaze Mbunge.
Look at You YoungLady>>>>UNAPOTEZA MUDA WAKO,UNAPOTEZA
NGUVU NA UWEZO WAKO WA KUFIKIRI KWA KAZI HII YA KUNITUKANA,HUNA LA
KUFANYA?UNAWINDA TEMBO KWA MANATI?
Nimekuonya kwaajili ya Matusi yako hayo.
TUTAHESHIMIANA
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Total Pageviews
About Us
Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.
Recent Posts
Ads 468x60px
Blog Archive
Followers
IN ENTERTAINMENT
ADVERTISE MENT
**ADVERTISE MENT**
Pages
VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )
STAR VOTE
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako hur...
-
A still from the video in which Yemeni girl Nada Al-Ahdal pleaded with parents not to arrange marriages for their young children, b...
-
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2013/2014) sasa utafungwa Jumatatu (Agosti 5 mwaka huu) badala ya Agosti 3 mwa...
-
UMEONA PICHA ZA WASANII WATAOTUMBUIZA KIGOMA KATIKA KILL TOUR WALIPOWASILI KIGOMA? BASI ZICHEKI HAPAKundi la kwanza la wasanii watakaotumbuiza katika tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2013 limewasili mkoani Kigoma kwa ajil...
-
Waziri wa uchukuzi Prof. Harrison Mwakyembe amemtaja mshukiwa mmoja wa dawa za kulevya aitaye Nassoro Mangunga, lakini mshuki...
No comments :
Post a Comment