HAYA NDO MAMBO YA KUZINGATIA KWA MWANAMKE, PALE UNAPOAMUA KUVAA SHATI LA KITENGE
Kitenge ni miongoni mwa mavazi ya Kiafrika yenye heshima ya kipekee. Tofauti na aina nyingine za vitambaa, kitenge kina sifa ya kuvaliwa na watu tofauti tofauti na kuleta maana kwenye mitindo.Katika kuonyesha thamani yake, wabunifu wa mitindo wameenda mbele zaidi na kubuni hadi mapambo ya kitenge. Leo hii si jambo la ajabu kuona makembe, mikoba na hata viatu vya kitenge.
Kwa miongo kadhaa sasa imeshuhudiwa kitenge kikivaliwa katika mitindo kadha wa kadha. Kwa mfano magauni, makoti, blauzi na hata sketi
.
Kadri siku zinavyozidi kwenda mitindo ya vitenge ya aina mbalimbali
imekuwa ikibuniwa. Ubunifu huu umekuwa ukiongeza zaidi thamani ya
kitenge na hata kukifanya kukubalika na kutambuliwa nje na ndani ya nchi
kama vazi la Kiafrika.

Kuvaa kitenge kunatosha kabisa kuonyesha ni kwa jinsi gani unajali na kulinda utamaduni wa mwafrika.
Katika kipindi cha hivi karibu wabunifu hao walikuja na shati la kitenge kwa wanawake. Na kabla ya kuyaingiza sokoni walionyesha kupitia maonyesho kadhaa ya mitindo jinsi ya uvaaji wake.
Leo hii imeweza kueleweka vizuri kuwa vazi la kitenge linaweza kutengenezwa shati litakalovaliwa na mwanamke, katika shughuli zake za kiofisi.
Kama ilivyo kwa aina nyingine ya mashati, mashati aina hii yana utaratibu wake katika uvaaji Je, ungependa kufahamu?
Fahamu rangi yako
Kwanza kabisa unatakiwa kujua rangi yako, kwa kujua rangi yako itakuwa ni rahisi kwako kupata ushauri kuhusiana na rangi inayoendana na wewe.
Elewa umbo lako
Usivae shati kwa kuwa tu umemuona mwenzio amevaa. Kabla ya kuvaa hakikisha unajiuliza maswali mawili matatu kuhusiana na umbo lako. Je, linaendana na aina ya shati ulilochagua. Ikiwa wewe ni mnene chagua shati lenye rangi ya giza lakini ikiwa una umbo jembamba si vibaya ukichagua rangi ya kuwaka.
Oanisha shati lako na vazi la chini
Licha ya ukweli kuwa aina hii ya mashati inaendana na suruali na sketi, Lakini ukweli ni kwamba si watu wote wanapendelea sururali au sketi. Hakikisha unachagua vazi linaloendana na mwili wako.
Chagua viatu sahihi
Ni kweli kabisa kila mtu ana viatu vyake anavyopendelea. Lakini ukiwa katika aina hii ya mashati unashauriwa kuvaa viatu vile vitakavyokuweka huru zaidi.
CREDIT:FRESH 121 MEDI BLOG 

BONGO NEWS 4 NEWS#
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Total Pageviews
328713
About Us
Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.
Recent Posts
Ads 468x60px
Blog Archive
Followers
IN ENTERTAINMENT
SERENGETI FIESTA 2013 MKOANI MTWARA NOOOOOMAAAA SAAAANAAAAA
Wakazi wa Mtwara wajitokeza kwa wingi katika Tamasha la Burudani la...SAKATA LA MADAWA YA KULEVYA, DIAMOND APOKONYWA PASSPORT.., MASANJA MKANDAMIZAJI NAYE YUPO
Ni mwendelezo wa Sakata la unga ambalo sasa ni janga kwa taifa letu. Orodha...VIDEO YA YALIO JIRI UZINDUZI WA VIDEO MPYA YA DIAMOND "NUMBER ONE"
DIAMOND AKI ONGEA NA WAANDISHI WA HABARI Penny Mungilwa - Number 1...
ADVERTISE MENT
**ADVERTISE MENT**

Pages
VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )
STAR VOTE
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
MUZIKI ni kazi, mataifa mengi, hususan katika mabara ya Ulaya na Amerika Kaskazini, ume...
-
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako hur...
-
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2013/2014) sasa utafungwa Jumatatu (Agosti 5 mwaka huu) badala ya Agosti 3 mwa...
No comments :
Post a Comment