RAY C AKERWA NA UMBO LAKE LILIVYO BONGE

Msanii wa Bongo Fleva aliyekiri kutumia madawa ya kulevya na kuacha,Rehema Chalamila‘Ray C’ ameonyesha kukerwa na umbo lake la sasa baada ya kunenepa kupita kiasi hali iliyomfanya aombe msaada ili aweze kupungua.
Ray C ameomba msaada huo kwa msanii wa Bongo Muvi Salma Jabu
‘Nisha’kupitia mtandao wa instagram na kumwambia kuwa anaomba ampatie
diet yake ili na yeye apungue ambapo msanii huyo alimwambia kuwa
apunguze kula na afanye mazoezi.
Msanii
wa Bongo Fleva aliyekiri kutumia madawa ya kulevya na kuacha,Rehema
Chalamila‘Ray C’ ameonyesha kukerwa na umbo lake la sasa baada ya
kunenepa kupita kiasi hali iliyomfanya aombe msaada ili aweze kupungua.
Ray
C ameomba msaada huo kwa msanii wa Bongo Muvi Salma Jabu ‘Nisha’kupitia
mtandao wa instagram na kumwambia kuwa anaomba ampatie diet yake ili na
yeye apungue ambapo msanii huyo alimwambia kuwa apunguze kula na afanye
mazoezi.Ray C baada ya kupotea kwa muda mrefu alionekana kwa mara ya kwanza akiwa ameonekana kufutuka usoni, kifuani na mapajani ambapo awali kabla ya matatizo ya utumiaji wa madawa hayo hakuwa hivyo.
Msanii wa Bongo Fleva aliyekiri kutumia madawa ya kulevya na kuacha,Rehema Chalamila‘Ray C’ ameonyesha kukerwa na umbo lake la sasa baada ya kunenepa kupita kiasi hali iliyomfanya aombe msaada ili aweze kupungua.
Ray
C ameomba msaada huo kwa msanii wa Bongo Muvi Salma Jabu ‘Nisha’kupitia
mtandao wa instagram na kumwambia kuwa anaomba ampatie diet yake ili na
yeye apungue ambapo msanii huyo alimwambia kuwa apunguze kula na afanye
mazoezi.Ray C baada ya kupotea kwa muda mrefu alionekana kwa mara ya kwanza akiwa ameonekana kufutuka usoni, kifuani na mapajani ambapo awali kabla ya matatizo ya utumiaji wa madawa hayo hakuwa hivyo.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Total Pageviews
About Us
Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.
Recent Posts
Ads 468x60px
Blog Archive
Followers
IN ENTERTAINMENT
ADVERTISE MENT
**ADVERTISE MENT**
Pages
VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )
STAR VOTE
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
MUZIKI ni kazi, mataifa mengi, hususan katika mabara ya Ulaya na Amerika Kaskazini, ume...
-
Millard Afrael Ayo alizaliwa Arusha January 26 akiwa ni mtoto wa kwanza kwenye famili ya watoto wanne ya Afrael Ayo ambae ni mme...
-
Tanzanian Housemate Feza has become the 20th Housemate to be booted out of The Chase

No comments :
Post a Comment