Recent Posts

coments

HOT HEAD LINES

NEWS+HABARI-ZAIDI

Archive

ALL HERE DONE BY |

ALL HERE DONE BY |

**ADVERTISEMENT**

**ADVERTISE**

**ADVERTISE**

HAPPY BIRTH DAY

HAPPY BIRTH DAY
Powered by Blogger.

COLLABLE YA SHILOLE NA JENIFER LOPEZ: SINTAH AENDELEA KUMPA MAKAVU SHILOLE

No comments


"Heee aliposema Sintah akarukiwa kwenye media zote nini na nini mbuta nanga.
Nothing personal to be honest ila watanzania tusipende kudanganyana jamaniii, juzi tu tulikuwa na kampeni za kwenda World Cup 2014 Brazil na kamati zikaundwa za kutosha tu, leo hakuna hata anayejua ndoto zimefia wapi now heeee.
Mtu anayekupenda lazima akwambie ukweli, truth sets a person free sasa sielewi kwa nini sie watanzania hatupendi critics rather tunapenda urahisi wa maisha vitu vitokee tu pap ndo maana mabinti wanaamua kubeba madawa e.t.c TUSIPENDE KURAHISISHA MAISHA


Joke of the year ni pale mtu hana hata album, nyimbo mbili/tatu tu za mdumange anakuja kutuambia eti Jenifer Lopez kafurahi anataka kufanya naye nyimbo kiruuuuuu. Charity begins at home, hujawagusa hata kina Lady Jaydee sogeasogea mpaka kwa kina Wahu na Juliana Kanyomozi kwanza ndo at least uje utudanganye Lolest. Kuna tofauti gani sasa kati ya huyu na wale waliotuambia tutaenda Brazil 2014????

 
Tukijipanga timu yetu ya taifa itashiriki World Cup. Why not?
Msanii ukijipanga hakuna kinachoshindikana, nini JLO unaweza fanya featuring hata na Jay Z lakini sio kutuletea mambo ya mfalme njozi kwa kuwa umepata sponsor kakusafirisha basi mburula mwanzo mwisho. 


kuwa exposed ukubwani linaelekea kuwa janga la taifa sasa....Dont hate critics, you can learn a lot from them!


I had to say that because nasumbuliwa sana na media kila mara simu na interviews, I got nothing to hate on nothing... Im always honest nasubiri kupigwa now kama alivyoahidi Lolest.

Thx kwa wale mliokuwa mna mtazamo kama mie coz sio wanafiki, Mungu anapenda sana wasema ukweli.



sitaki tena media yeyote sasa iniulize hili swala that's it, huu ndio ukweli wangu na sipendi kupigiwa simu kwasababu sitaki kumpa mtu hypes za kumtajataja, got better things to do than discuss issues that aint no valuable.


Good Day. Xo Xo


Unstoppable" 

Sintah"
BONGO NEWS 4 NEWS#

No comments :

Post a Comment

Total Pageviews

About Us

Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.

Ads 468x60px

Blog Archive

Followers

IN ENTERTAINMENT

ADVERTISE MENT

**ADVERTISE MENT**

**ADVERTISE MENT**

VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )

TOP HEAD LINES