Recent Posts

coments

HOT HEAD LINES

NEWS+HABARI-ZAIDI

Archive

ALL HERE DONE BY |

ALL HERE DONE BY |

**ADVERTISEMENT**

**ADVERTISE**

**ADVERTISE**

HAPPY BIRTH DAY

HAPPY BIRTH DAY
Powered by Blogger.

WEMA SEPETU ASABABISHA WATU KUFURIKA MAHAKAMANI KWA AJILI YA KUMUONA.

No comments

Habari ni kuwa Jumatano iliyopita watu walijaa pomoni katika mahakama ya mwanzo Kawe jini Dar es salaam kwa lengo la kusikiliza kesi ya Wema Sepetu na pia kumuona actress huyo ambaye anakabiliwa na kesi ya Kushambulia, kufanya vurugu, kumtukana matusi ya nguoni na kumpiga vibao meneja wa hotel Goodluck  Kuyumbu. Wema aliyepandishwa kizimbani mbele ya hakimu Bernice Ikanda alifika mahakamani hapo akiwa na msafara wa magari matatu yaliyokuwa na wapambe wake kwa mujibu wa GPL. Magari hayo matatu yaliyokuwa yamejaza wapambe wa star huyo yalikuwa ni aina ya Audi Q7, Toyota Opa na Toyota Hiace. Kesi hiyo iliahirishwa mpaka August 20 mwaka huu itakaposikilizwa tena. Angalia picha............


No comments :

Post a Comment

Total Pageviews

About Us

Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.

Ads 468x60px

Blog Archive

Followers

IN ENTERTAINMENT

ADVERTISE MENT

**ADVERTISE MENT**

**ADVERTISE MENT**

VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )

TOP HEAD LINES