Recent Posts

coments

HOT HEAD LINES

NEWS+HABARI-ZAIDI

Archive

ALL HERE DONE BY |

ALL HERE DONE BY |

**ADVERTISEMENT**

**ADVERTISE**

**ADVERTISE**

HAPPY BIRTH DAY

HAPPY BIRTH DAY
Powered by Blogger.

Irene Uwoya kuja na TV show ya tofauti kabisa kupitia kituo cha Clouds TV.

No comments


Msanii bongomovie Irene Uwoya anakuja kwenye TV yako kwa njia nyingine tofauti na ya kiubunifu zaidi. 
 
Duniani kuna mastaa kadhaa ambao wanafanya reality show zao, lakini Irene Uwoya kupitia ukurasa wake wa Instagram ametoa news kwamba anaanzisha show yake binafsi kupitia kituo cha Clouds TV ambayo ni tofauti kabisa na show za mastaa wengine. Undani kuhusu show hiyo ni kwamba kila kitu humo ndani kitahusu mambo ya nyumba.
 uwoya
Irene na crew yake watakuwa na kazi ya kutembelea nyumba zenye hali mbaya na kuzifanyia ukarabati ili kuboresha hali ya mazingira ya kuishi ya muhusika mwenye nyumba au chumba. So, show yake itakuwa inaonyesha mwanzo nyumba ikiwa kwenye hali mbaya hadi atakapo ikamilisha na huo ukarabati. Hii picha inamuonyesha akiwa setting ku-shoot sehemu ya show hiyo.
BONGO NEWS 4 NEWS#

No comments :

Post a Comment

Total Pageviews

About Us

Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.

Ads 468x60px

Blog Archive

Followers

IN ENTERTAINMENT

ADVERTISE MENT

**ADVERTISE MENT**

**ADVERTISE MENT**

VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )

TOP HEAD LINES