Recent Posts

coments

HOT HEAD LINES

NEWS+HABARI-ZAIDI

Archive

ALL HERE DONE BY |

ALL HERE DONE BY |

**ADVERTISEMENT**

**ADVERTISE**

**ADVERTISE**

HAPPY BIRTH DAY

HAPPY BIRTH DAY
Powered by Blogger.

MNUNUZI: REDIO YA SHARO IMENIFANYIA MAUZAUZA ANAPOIZIMA USIKU HUWA INAJIWASHA YENYEWE.

No comments

Na Imelda Mtema

MSANII wa Kundi la Green Masage, linalorusha michezo yake kupitia Televisheni ya TBC, Daniel Mmasi ‘Face Brown’ amefunguka kuwa redio ya marehemu Ramadhan Mkiety 
‘Sharo Milionea’ aliyoinunua, imemletea mauzauza Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Daniel alisema alinunua redio hiyo ya ‘sabuufa’ kutoka kwa kijana aliyejulikana kwa jina la Suleiman (dalali wa mali za Sharo), lakini  anapoizima usiku, huwa inajiwasha yenyewe.
 
“Niliichomoa kwenye umeme wakati wa kulala, ghafla usiku nikasikia inazungumza wakati sikuichomeka umeme, kuna siku nilikuwa narudi nyumbani kwa dirishani nikasikia inazungumza wakati asubuhi niliizima,” alisema Daniel ambaye ameamua kuirudisha redio hiyo kwa dalali bila kurejeshewa malipo yake.
Credit : GLPBONGO NEWS 4 NEWS#

No comments :

Post a Comment

Total Pageviews

About Us

Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.

Ads 468x60px

Blog Archive

Followers

IN ENTERTAINMENT

ADVERTISE MENT

**ADVERTISE MENT**

**ADVERTISE MENT**

VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )

TOP HEAD LINES