Recent Posts

coments

HOT HEAD LINES

NEWS+HABARI-ZAIDI

Archive

ALL HERE DONE BY |

ALL HERE DONE BY |

**ADVERTISEMENT**

**ADVERTISE**

**ADVERTISE**

HAPPY BIRTH DAY

HAPPY BIRTH DAY
Powered by Blogger.

Ajali kazini:Toni Braxton avukwa na kivazi jukwaani na kubaki uchii..

No comments

Kilichomtokea Toni Braxton ni balaa!! Fikiria uko jukwaani mbele ya umati wa watu bila kujua nguo inakuvuka au inaachia na kuacha makalio wazi bila wewe kujua tena unajiachia mwenyewe kwa mbwembwe zote..si majanga? Ndicho kilichomtokea Toni Braxton alipokuwa akipafomu kwenye onyesho lake huko New Jersey Marekani.

 


toni-braxton-wardrobe-malfunction-1
MUIMBAJI Toni Braxton amejikuta katika wakati mgumu alipokuwa akitumbiza jukwaani baada ya nguo yake aliyekuwa amevaa kupata ‘hitilafu’ kuchanika na kumuacha wazi sehemu ya makalio kwa muda mrefu bila ya kugundua.
Hayo yalimtokea wakati akifanya onesho lake hivi karibuni huko New Jersy Marekani ambapo staa huyo
mkongwe anayetamba na nyimbo inayojulikana kwa jina la ‘Unbreak my heart’ aliendelea kuimba na kucheza mbele ya maelfu ya mashabiki waliohudhuria onyesho hilo bila ya kujua kama nguo yake aliyoivaa imechanika.Muimbaji huyo alijikuta katika wakati mgumu baada ya kigauni chake kutereza upande wa nyuma na kusababisha makalio yake kuonekana na nguo ya ndanialiyoifaa ‘bikini’ kuonekana.
Toni bila ya kujua kinachoendelea aliendelea kutoa burudani hiyo ingawa baadhi ya waimbaji wenzake
waliweza kungudua kuwa nguo ya muimbaji huyo imeachia lakini walishindwa jinsi ya kumsaidia.
Baada ya muda kidogo Toni aliweza kujua kuwa nguo yake imeachia ndipo alipoanza kutafuta njia ya kujiziba huku akiendelea kuimba lakini ilishindikana, ndipommoja wa shabiki wa kiume aliyepanda jukwaani hapo aliweza kumvalisha koti.
Muda mfupi baada ya kuvishwa koti msaidizi wakaliweza kumsaidia kuirekebisha nguo hiyo, huku mwanamuziki huyo akiendelea kuimba lakini wakati huo ilishindikana nguo hiyo kurekebishika ndipo alipokuja msaidizi wake wa kume kuivua nguo hiyo.
Toni alilazimika kuendelea kuimba akiwa na koti alilopewa na shabiki wake baada ya nguo yake kushindwa kurekebishika.
BONGO NEWS 4 NEWS#

No comments :

Post a Comment

Total Pageviews

About Us

Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.

Ads 468x60px

Blog Archive

Followers

IN ENTERTAINMENT

ADVERTISE MENT

**ADVERTISE MENT**

**ADVERTISE MENT**

VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )

TOP HEAD LINES