Recent Posts

coments

HOT HEAD LINES

NEWS+HABARI-ZAIDI

Archive

ALL HERE DONE BY |

ALL HERE DONE BY |

**ADVERTISEMENT**

**ADVERTISE**

**ADVERTISE**

HAPPY BIRTH DAY

HAPPY BIRTH DAY
Powered by Blogger.

ARSENAL WATUMA OFA YA £10M KWA NEWCASTLE KWA AJILI YA CABAYE.

No comments


Arsenal wametuma rasmi ofa ya £10m kwa Newcastle kwa ajili ya kiungo Yohan Cabaye, kwa mujibu wa shirika la utangazaji wa Uingereza BBC.
 
Mpaka sasa Newcastle hawajaikataa rasmi ofa hiyo kwa ajili ya kiungo huyo mwenye miaka 27, lakini inaaminika wataikataa ofa hiyo ikizingatiwa PSG walitoa ofa ya kiasi kinachokaribiana na hicho. 

Arsenal, ambao walifungwa mechi yao ya ufunguzi wa ligi 3-1 na Aston Villa, wameshindwa kukataa wala kukubali kuhusiana na ofa hiyo ya Cabaye. 

Gunners wamekumbwa na mkosi wa majeruhi ya viungo wake tegemeo  Mikel Arteta na Abou Diaby.
BONGO NEWS 4 NEWS#

No comments :

Post a Comment

Total Pageviews

About Us

Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.

Ads 468x60px

Blog Archive

Followers

IN ENTERTAINMENT

ADVERTISE MENT

**ADVERTISE MENT**

**ADVERTISE MENT**

VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )

TOP HEAD LINES