SASA MWAKYEMBE AAGIZA DIAMOND KUCHUNGUZWA, SOMA HAPA KUJUA ZAIDI
Msanii huyo leo ameripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari kujihusisha na dawa za kulevya.Uchunguzi huo utahusisha kuangalia vyanzo vyake vya mapato kama vinaendana na matumiz yake, wakati inasemekana akaunti za diamond ambazo zinaonekana kubwa mno kulinganisha na kipato cha kawaida cha wasanii.
Hali hiyo imetokana na vugu vugu la kujaribu kuisafisha tanzania kutokana na kushamiri kwa madawa ya kulevya limefikia hatua nzuri na yakipee. Mh mwakyembe amejitoa haswa kupambana na hawa watu wauza unga, moja kati ya majina yanayosemekana ya wauza unga/punda ambayo yapo ktk kitengo internal intelligency lipo jina la msanii diamond.
Inasemekana diamond anaurafiki wa karibu na mabosi wa masogange, ambao wengine wapo nchini Afrika Kusini .kamera za cctv za uwanja wa wa ndege wa kitaifa JNA zimekuwa zikionesha ukaribu wa diamond na wale watu waliotajwa na waziri kuwa walimsaidia masogange kupitisha mzigo.
Pia safari za kimuziki sehemu mbalimbali duniani ambazo nyingi hupangwa/kutafutwa na vigogo wa madawa ya kulevya waliopo tanzania na wale waliopo Afrika Kusini .
Wakati pia sasa serikali inajaribu kuchunguza akaunti za diamond ambazo zinaonekana kubwa mno kulinganisha na kipato cha kawaida cha wasanii. Uchunguzi bado unaendelea, lakini diamond amekanusha kuhusika na sembe
CHANZO : PRO24
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Total Pageviews
328707
About Us
Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.
Recent Posts
Ads 468x60px
Blog Archive
Followers
IN ENTERTAINMENT
SERENGETI FIESTA 2013 MKOANI MTWARA NOOOOOMAAAA SAAAANAAAAA
Wakazi wa Mtwara wajitokeza kwa wingi katika Tamasha la Burudani la...SAKATA LA MADAWA YA KULEVYA, DIAMOND APOKONYWA PASSPORT.., MASANJA MKANDAMIZAJI NAYE YUPO
Ni mwendelezo wa Sakata la unga ambalo sasa ni janga kwa taifa letu. Orodha...VIDEO YA YALIO JIRI UZINDUZI WA VIDEO MPYA YA DIAMOND "NUMBER ONE"
DIAMOND AKI ONGEA NA WAANDISHI WA HABARI Penny Mungilwa - Number 1...
ADVERTISE MENT
**ADVERTISE MENT**

Pages
VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )
STAR VOTE
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
MUZIKI ni kazi, mataifa mengi, hususan katika mabara ya Ulaya na Amerika Kaskazini, ume...
-
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2013/2014) sasa utafungwa Jumatatu (Agosti 5 mwaka huu) badala ya Agosti 3 mwa...
No comments :
Post a Comment